Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma, juzi jioni alizindua rasmi gazeti la Kwanza Jamii. Gazeti hilo litakuwa rikiripoti habari zenye kuhusu mkoa wa Iringa. Sherehe hizo za uzinduzi zilifanyika kwenye viwanja vya Mwembetogwa mjini Iringa.Kwa picha zaidi , tembelea libeneke la Maggid Mjengwa kwa Kubofya hapa
Home
Unlabelled
Mkuu wa Mkoa wa Iringa alizundua rasmi gazeti Kwanza Jamii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...