![]() |
Waziri Mkuu wa Uingereza,David Cameron |
UINGEREZA imetoa shinikizo la kutambua haki za mashoga kwa nchi zinazoendelea na kutishia kusitisha misaada yake kwa nchi zinazokiuka agizo hilo. Waziri Mkuu David Cameron amesema Uingereza ina mpango ya kusitisha misaada yake kwa nchi ambazo sheria zake hazitambui ndoa za jinsia moja na mashoga.
"Nimeshawajulisha baadhi ya wakuu wa nchi kuhusu suala hilo kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola unaofanyika jijini Perth, Australia," alisema Cameron kupitia BBC.Nchi 41 kati ya nchi 54 wanachama wa Jumuiya ya Madola, zina sheria zinazopinga ndoa za jinsia moja.
Suala la haki za binadamu ni moja ya agenda ambazo viongozi kadhaa walishindwa kuafikiana katika mkutano huo ambao rais Kikwete pia alihudhuria. Cameron alisema: "Tunasema hii ni moja ya vitu vinavyoongoza sera yetu ya misaada kwa mataifa mbalimbali na tayari tumeanza kuitekeleza katika maeneo kadhaa," alisema.
Aliendelea: "Nchi zote zinazopata misaada kutoka kwetu (Uingereza), zinapaswa kukubaliana kikamilifu na sera hii ya haki za binadamu," alisema. Cameron alisema ameshazungumza na nchi mbalimbali za Afrika kuhusu suala hilo na utekelezaji wake utafanywa na Waziri wa Mambo ya Nje ya nchi hiyo, William Hague.
Kukomesha vizuizi vya ndoa ya jinsia moja, ilikuwa moja ya mapendekezo yaliyomo katika ripoti ya ndani ya matarajio ya baadaye ya Jumuiya za Madola. Katika mkakati huo, Uingereza imetishia kusitisha sehemu ya misaada ya bajeti kuu kwa nchi zisizokubaliana na msimamo huo lakini imeahidi kwamba haitaondoa bajeti yote.
Nchi ya Malawi imeshaathirika na mpango huo wa Uingereza kwa sehemu ya misaada yake kusitishwa kutokana na misimamo yake kuhusu haki za mashoga. Nchi ambazo huenda zikafuatia hivi karibuni ni Uganda na Ghana. Cameron ameieleza BBC kuwa nchi zinazopokea misaada kutoka Uingereza zinapaswa kuachana na sheria kandamizi. Lakini akaeleza kuwa ingawa sio rahisi nchi kubadilika ghafla, ni bora zikaanza sasa mchakato wa mabadiliko hayo kuliko kuendelea kubweteka.
"Hili ni suala ambalo tunaendelea kulisukuma ili lifanikiwe na tumejiandaa kuwekeza hela pia katika kuhakikisha tunafanikiwa lakini ninashaka kwamba hatuwezi kutegemea mabadiliko hayo kuja mara moja," alisema. Mjadala mzito ulioibuka katika bunge la Uganda mwaka 2009 kuhusu ndoa za mashoga, ni sehemu ya utekelezaji wa sera hiyo ya Uingereza.
Mwaka huu mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga nchini Uganda David Kato alipigwa hadi kifo kutokana na kuongoza kampeni hizo. Bunge la Nigeria sasa linaendelea kujadili Muswada wa kuzuia ndoa ya jinsia moja ikiwamo kuweka adhabu kali kwa watu wanaosadia au kuhamishwa kufungwa kwa ndoa hiyo.
SOURCE: BOFYA HAPA
MIMI sikubaliani na hoja hii,nakumbuka wakati wa utawala wa mwalimu alikataa katakata misaada au mikopo yenye masharti kama hii,nawaomba watanzania tuipinge kwa nguvu zetu zote,huyo David Cameroon ndio wale wale?alikosa cha kuzungumza?Hii sio karne ya kupeana misaada ya masharti ya kijinga kama hii.
ReplyDeleteKwa Mtaji huu wa misaada heri kufa masikini..... kwa nini tukbaliane kukiuka mila na desturi zetu? Dini zetu zote haziruhuu katu.... Namshauri Rais asiyumbishwe kwa pesa haramu ya magharibi. Kama haki ya kawaida wanapaTA KWA MFANO MATIBABU, CHAKULA NA KUISHI NA MENGINEYO SASA HAPO TUMEKIUKA NINI.... TUACHANE NA HOJA YAKE... AKIAMUA AFAYE ATAKALO TUMECHOKA...
ReplyDeleteMHENGA
Bora tufe na njaa kuliko kuhalalisha huu upuuzi. Nchi zao zimeshaharibikiwa wanataka na sisi tuunge trela. Yeye watoto wake ni amshoga???
ReplyDeleteNdg wadau,
ReplyDeleteKatika mambo yanayoikera nafsi yangu ni kuona umaskini wetu unatumika kulazimishia tukubali mambo ya kishenzi ambayo sio utamaduni wetu.
Itakuwa ni aibu na fedheha kubwa sana kwetu sisi kama tutakubaliana na jambo hili eti kwa sababu ya misaada.
Na pia ni aibu kubwa sana kwa viongozi wa nchi zilizoendela kama Uingereza kushinikiza nchi maskini kubadili matakwa ya wananchi wao walio wengi na kuingiza kwenye katiba mambo ya kipuuzi kama haya. Nchi ambazo wamejiita ni wastaarabu!!! Je ni ustaarabu kuoa au kuolewa na mwanamume mwenzako? Je ni ustaarabu kuoa au kuolewa na mwanamke mwenzako?
Hizo haki za binadamu inabidi zitazamwe upya kwani kuwa msenge kuna athari zake ila wanaficha tu (physically and psychologically). Je huyu anayepata hizo athari kwa sababu ya ushoga hahitaji haki?
Binafsi naliona jambo hili kama ni njama za hawa jamaa kutaka kutumia itajiri wao kudumaza jitihada zetu za kujikomboa kifikra na kiuchumi. Nasema hivi kwa sababu vijana wetu wanaweza kuamua kutumia njia hii kama chanzo kikuu cha mapato na kuacha kutumia vipaji vyao halali walivyojaliwa na mwenyezi Muumba. Na hivyo kudumaza uwezo wao wa kufikiri ambao ndio ungeibua mbinu mya za kukabiliana na changamoto za maisha.
Inasikitisha pale viongozi wetu wanaposhinikizwa na kukubali mambo ambayo wanajua yataleta athari kwa watu wao. kulingana na hotuba ya David cameroon, jambo hili lilishapitishwa na viongozi wa hiyo jumuiya ambao baadhi yao ni waafrika. Kwa hiyo Cameroon yeye anachosisitiza ni utekelezaji wa kile walichokubaliana.
Nitamkumbuka sana baba wa Taifa hayati Mwl Nyerere kwa misimamo yake aliyokuwa nayo enzi hizo bila kujali umasikini au utajiri ambao tutaukosa kwa kukataa masharti ya kipuuzi. Tunapaswa tuige mfano wa huyu mzee na tukatae hii hoja. Tunazo sababu nyingi za kutumia kukataa hoja hii. (1)Ushoga sio utamaduni wetu. Na hivyo tunapoweka sheria za kuupinga ni katika jitihada za kulinda utamaduni wetu. Kwani mtu kutokuwa shoga anaathirika na kitu gani hadi ionekane kuwa ni haki ya mtu? Katika kusomasoma kwangu niliwahi kusoma mahali kuwa ushoga ni utamaduni au desturi ya baadhi ya jamii za nchi za Asia na Ulaya. Na hivyo kwao kuruhusu uchafu huu ni sehemu ya kuhifadhi utamaduni wao. Kwa nini wauwe utamaduni wetu wakati wanatunza wa kwao?
2) Vitabu vyetu vya dini (Uislamu na Ukristo) vinakataza mambo machafu kama haya. Sodoma na gomora iliangamizwa kwa sababu ya uchafu kama huu. Ukisoma pia kitabu cha Mathayo (sikumbuki vizuri kama ndio hiki)katika biblia, utaona kuwa ushoga umetajwa moja kwa moja kuwa ni chukizo kwa Mungu kama ulivyo uasherati na uzinzi wa aina nyingine. Kwa hiyo tuamue kuvunja maandiko matakatifu kwa sababu ya haki za binadamu? Haki gani iliyopo katika kumlawiti au kulawitiwa na mwanamume mwenzako?
Tukisimamia mambo haya mawili tuna kila sababu ya kuibua mjadala huu upya na hatimaye kukataa kushinikizwa kwa mambo ya kishenzi.
Rais Kikwete tunaomba ulilete jambo hili kwa wananchi na tutakachoamua ndicho kiandikwe kwenye katiba na sheria zingine. Kwangu mimi haki za binadamu ni zile zilizokubalika na watu wengi katika jamii.
HAWA NDIO FREEMASONS WENYEWE ALAFU MNASEMA HAKUNA UKOLONI HAO HAO NDIO WANASEMA KILA MTU ANA UHURU WAKE SIO KWA KUTISHIA WATU? KUKOMOLEWA KWA HAWA NCHI ZIJITOE JUMUIYA ZA MADOLA ALAFU WAONE WATASIKILIZWA WAO AU WAO WATASIKILIZA WATU? FREEMASONS NA VATICAN WANAUWA JAMII. KZ
ReplyDeleteHawa waingereza akili zao zinaweza zikawa si timamu kabisa, huo upuuzi waufanye kwao huko huko, laana zao wasituletee sisi.wafanye huko huko kwao misaada kitu gani, misaada ndo itufanye tutende dhambi..damn!!,
ReplyDeleteKama ni misaada basi.
ReplyDeleteVIGELEGELE...VIGELEGELE
ReplyDeleteHongera mwanangu hongera nami nihongere......
VIFIJO...VIFIJO
Audhubillah,
TOO LATE. WAKAE NA MISAADA YAO; NA UCHAFU WAO. KWANZA NCHI YENYEWE INADIDIMIA; SIJUI MISAADA GANI ANAZUNGUMZIA. WATU WAO NI MASIKINI; HOMELESS KIBAO; HALI DUNI YA MAISHA KWA WALIO WENGI, GHARAMA ZA MAISHA KUPANDA NK NK NK. MSAADA GANI WANAZUNGUMZIA? WABAKI NA HIVYO VI-PENNY VYAO; WASIJARIBU KUSHINIKIZA WALIOKAA KWENYE MSTARI WAANZE 'KUPINDA'. WRONG WILL ALWAYS BE WRONG;YOU CAN'T MAKE RIGHT FROM WRONG! BOB MARLEY ANAJUA HILO. USHOGA NI 'WRONG'. NI KINYUME NA MAADILI! HATA MAKANISA YAO YANATOFAUTIANA; SASA SIJAJUA WANATUMIA BIBLIA GANI WENGINE KUHALALISHA HAYO. NO MR CAMEROON, KEEP YOUR AID.HELP YOUR 'GAY' PEOPLE HO ARE STRUGGLING THEN. WE DONT NEED PRESSURE FROM YOU. YOU ARE UNDER PRESSURE ALREADY. LEAVE THOSE DOING THE IGHT THING ALONE!
ReplyDeletehaya kazi kwa mheshimiwa kikwete kuruhusu michapo ya midume kwa midume au hatopata misaada hehehe hii kali kweli
ReplyDeletehapo ndio mtakapokubali kuwa kuna washika remote kama mdau alivyowahi kusema usipofata ya mshika remote basi punzi utakuja kuzitafuta na baadae kuja kumsahau mungu ambae ndio mtoa riziki
na badae kuamini miungu watu kwa misaada yao.
mungu ibariki afrika mungu ibariki tanzania yetu
tutakula mihogo lakini hatukubali ndoa za mashoga.
kuna haki nyingi sana za kubinadamu ambazo bado haziangaliwa, ambazo bado ni kandamizi kwetu sisi tunaotegemea misaada, na kwa nini hili la ushoga liwe la lazima sana, sasa ni hivi kama mtu anataka kuwa shoga hiyo si kazi yetu kukubali, ni yeye mwenyewe, nchi itampa huduma kama mtu yeyote yule, na sio kwa sababu ya ushoga wake, naomBa serikali yangu isikubali na sio tu kupunguza misaada hata wasitupe kabisa, HATUTAKI MISAADA YA MASHARTI
ReplyDeleteAstakafirullah la'zim! Namuomba Mwenyezi Mungu atuepushe naye Sheitan!
ReplyDeleteHuu ni upumbavu, kumlazimisha mwenzako kuyatambua mavi kuwa eti ni chakula, Tuwatambue mashoga kwa ajili ya nini, kwani hao ni wagonjwa kusema labda unawezaje kukwepa kuugua, pengine na wewe utaugua kesho!Wazungu na mambo yao ya kishenzi waendelee nayo wenyewe siyo sisi hapana na Rais atakaye kubali hili naye ni gay yaani shoga, huu ni upuuzi na usikubalike kwasababu ni mali ya yule mwovu shetani, kama ndo hivyo kwanini waliumbwa mwanamke na mwanaume.
ReplyDeletena naomba comment hii itokee katika blog kama ilivyo.
mimi naitwa Januarius komba niko hapo Marekani.
I have come across homosexuals who were the honest, kind, loving, good christians, just outright good hearted individuals. I'm a christian and I don't believe being a homosexual is enough to send you to hell, actually i believe its for God to judge not man, regardless of what is written in the bible. I wonder why some christians condemn and judge homosexuals makes me wonder if they ever read the part of the seven deadly sins. Gluttony to name one, have you seen some greedy, fat, do anything to get more regardless of who they are hurting people, who by the way call themselves christians and look down upon homos? defend that. Anyway,the bible was written by men, I know some were Jesus friends and i know i'll offend someone but you know how your friends can get the story wrong sometimes; a lot of times. WE are created in the image of god, Homosexuals or not, there is the law of the land and there is the law of God. Let the law handle the rapists and murdereres and thieves and what-have-you but lets not feel superior to others because we are not homosexuals and they are. It's not a choice. As a christian I know not to use the Bible as a tool to condemn and Judge others, but to bare witness to God. There is a difference. If you don't get it, read between the lines.
ReplyDeleteGod loves every human kind.
haya ndiyo matatizo ya kubweteka na kutegemea misaada....lazima tu utapangiwa masharti ya kutekeleza mambo ya wengine pasipo ridhaa yako. Nina mashaka hata huu ugumu wa maisha kama hausababishwi na amri za mataifa mengine...maana sipati picha kwamba hivi ni kweli swala la mashoga ni nyeti kwa nchi yetu kiasi kwamba tusipolitekeleza tustahili adhabu hiyo??? kwa nini wasiseme kuwa ma albino walindwe kwa gharama yoyote ile na kama hatuwalindi basi tutanyang'anywa misaada yote???? hivi kweli muingereza anatupa amri hiyo...je haoni matatizo mengine ambayo tunayazembea au kadaganywa taarifa??? NISAIDIENI HAPA WADAU...
ReplyDeleteHii imekaa vizuri. Wakati umefika kwa sisi waafrika kutambua usawa wa binadamu. Mimi sio shoga ila ninaheshimu jinsia ya mtu bila kubagua. Ni wakati wa Afrika kuachana na mila zilizopitwa na wakati.
ReplyDeleteKweli hakufuzae hakwambii toka,Hii ni janja ya Uingereza katika kupunguza misaada yake kwa nchi maskini.
ReplyDeleteBw.Cameroon anajua misimamo ya nchi nyingi maskini ambazo zipo Commonwealth ambazo zipo Afrika hazikubaliani na jambo hilo.Kwa kuwa anajua nchi nyingi zitakataa wazo lake na ndicho anachotaka basi itakuwa tayari ametimiza lengo lake.Kwa hili tusikubaliane nao bora tuwe maskini kwa kutopata misaada kuliko kuwa mtumwa wa misimamo na fikra potofu.
Nakama nchi tujifunze kujitegemea sio kwa serikali tu hata katika ngazi ya kifamilia kwa kuwa HATUNA WAJOMBA WA KUTUSAIDIA.
Vipi watanzania na afrika kwa ujumla mbona mko kimya au mnangojea mpaka afe gadhafi mwingine ndo tuone machungu yetu.Ongeeni mambo kama haya sio kukaa kimya.Tutaoana kweli midume jamaa wana nguvu hawa, tunakwisha taratibu haki ya nane.Kina bwana misaada sijui itakuwaje tena.yalahi illahi!
ReplyDeleteJamani. Ushoga!!! Nadhani umefika wakati wa serikali zetu kutathnini kauli hizi na kuzitolea tamko rasmi ili tujipange. kama ni kuachana nao na tuachane nao. kesho watakuja wa madawa ya kulevya. HUU NI UKOLONI MAMBOLEO. SERIKALI TUNATAKA MSEME!!!
ReplyDeleteHuyo Cameron anawatafutia mabwana wanaume wenzie wa kizungu. Anaongeza uwigo. Kinyaa sana haya mambo. Tukiruhusu hili jambo msije mkashangaa watoto wenu wa kiume wanawatambulisha wachumba zao wa kiume, sijui mtajisikiaje.
ReplyDeleteHivi kweli kabisa Tanzania haiwezi kujitegemea?????????????????????! Hii ni fedheha kubwa sana, ningekuwa Rais leo hii ningeufunga ubalozi wa Uingereza, wacha tuishi kwa mihogo tu huku tukirekebisha mikataba ya kinyonyaji na kifisadi pamoja na kuboresha maeneo mengine. Nchi kama yetu inahitaji Rais anayetoka majasho na kumaliza jozi za viatu kila mwezi.
Duu!! this is too much to hell with their misaada. Misaada gani wanatoa wakati wanaiba mali zetu, wamefikia mahala wanataka hata utu wetu wauharibu. Jamani tuungane kupinga hili hawa wakubwa wanahanagaika sana na nchi za africa waende china waone kama watathubutu kutoa maneno yao hayo. Yaani kutawaliwa na nchi hizi jamani tunashida sie. mungu tusaidie sie tusio na mabomu ya nyukilia na uchumi wetu ni kidogo. mwishowe watatuzui kuzaa ndo tunakoelekea.
ReplyDeleteWakati umefika kwa nchi za Kiafrika kujitoa kwenye jumuia ya Madola. Utamaduni wa Mwafrika una thamani. Jiondoeni mlinde tamaduni zenu. Akili ni nywele kila mtu ana zake.
ReplyDeleteLaanakum we cameron na acompanion yako yote.. huo ushenzi huko huko kwenu na atakaethubutu kutuletea laana hiyo ndani ya nchi hii wallahi patageuka Iraq hapa lol.haya manguruwe maingereza na marekani uki yachekea yaweza hata kutugeuza mashoga nchi nzima haya lol inshaallah na watshindwa tu.na michuzi usiibanie hii..ukiibana ntajua nawe wautaka ushoga tanzania khaa balaa gani hii na wakae nayo hiyo misaada yao nyambaf.
ReplyDeleteHasheem.
idiot
ReplyDeletekwa hilo fedha zenu kaeni nazo.halafu chinja mashoga wote pumbavu!!!!!.
ReplyDeletehawa wameomba msaada China,sasa China inatakiwa iwape sharti la kuupinga ushoga ili wapewe msaada.Uingereza watakubali?bunge lao tu limejaa mashoga
ReplyDeleteI have nothing against gay people(homosexuals) and I dont believe in specific laws to control ones sexuality BUT
ReplyDeleteSomeone talks of a good christian homosexual, well, that is like an advertisement for halali pork.
We mkristo uliyesema tusihukumu, hapa hatuhukumu tunatoa comm.je hujui kuwa dhambi ya zinaa,ushoga ndizo zilizomfanya Mungu aangamize Sodoma n Gomora, hiyo ni dhambi ambayo Mungu anaipinga na kuichukia kuliko yeyote. Jamani Watz wenzangu mi niko na Cameroon huku Uk, mambo si mazuri kabisa. Kuna wakati tukiwa tunapita mitaani hata aibu tunaona na watoto wetu kwani uchafu uchafu na tv zao ndo kabisa hatuthubutu kuangalia na watoto. Ee Mola utuhurumie.
ReplyDeletehuyu jamaa atakuwa labda naye hivyo hivyo
ReplyDeleteKuna hatari kubwa ya nchi zinazoendelea kulirukia hili jambo na kulitambua kutokana na shinikizo la nchi zilizoendelea. ilimradi tunategemea misaada kutoka kwao inaelekea hatuna ujanja. Kazi kweli kweli
ReplyDeletekaka mithupu,serikali itoe tamko,Huyo Cameroon aelewe hatutaki upuuzi huo,kwani katika haki za binaadamu ni ushoga tu ndio haki?jamani tunataka serikali iwe na msimamo kuhusu hili,leo tunaambiwa tuwakubali mashoga kuwa sehemu ya mtu na mke,iko siku watasema hawatoi misaada mpaka wake zetu waende uingereza itakuwaje?no huu ni ujinga.
ReplyDeleteWashenzi wakubwa mlikua mnasubiri Gadafi auliwe ndio muanze kuleta mambo yenu ya kipumbavu Mungu atawashinda. Wamwzoea kutunyanyasa waafrika kisa ni masikini. Hiyo misaada wanayotupa ni haki zetu na jasho letu ambazo wanatudhulumu. Malipo hapa hapa tutaona
ReplyDeleteLaana tuLLAH, Huyu Cameroon kwa maelezo yake tu unagundua ni shoga na kuna mwafrika anamtaka.
ReplyDeleteSUALA LA USHOGA WANAJARIBU KULIINGIZA TARATIBU KWENYE JAMII YETU HILI BAADA YA MIAKA KADHAA LITAKUWA LIMEZOELEKA NA NDIPO WATAKAPO LIZUSHA RASMI NIA YAO NI KUITAWALA DUNIA KIJAMII NA KIUCHUMI NA WOTE HAO NI HAO HAO TU. ULAYA YENYEWE NI KIMEO TU SI ULAYA YA ENZI ZA NYUMA WANATAPA TAPA.
ReplyDeleteMISAADA YA MASHARTI MAGUMU: imetosha kwa sisi dunia ya 3 kufungwa kamba ya pua kama punda wa mizigo na kukokotwa...tamaduni zao wao huko ni kimpango wao na sisi tuna taratibu zetu...HATUWEZI KUHAKIKISHIWA KUPEWA MISAADA KWA MASHARTI YA KUKUBALI USHOGA!
ReplyDeleteUKISIKIA MISAADA YA MASHARTI MAGUMU NDIO HII....bora tule nyasi!
ReplyDeleteBURE=GHALI!
ReplyDeleteUUNGWANA NI VITENDO...AANZE YEYE CAMERON KUTOA MZIGO NDIO ATU GEUKIE SISI WENGINE ILI AONE KAMA ITAKUWA imekaa vizuri na NI SAHIHI, KWA VILE MUOSHA HUOSHWA, SASA IWE MUOSHWA NAE AOMBE KUOSHA!
ReplyDeleteHuko nyumbani tuna mashoga wengi tu, anachosema DC ni kuwakubali katika jamii, na kuwapa nafasi kama watu wengine wenye tabia tofauti na wewe unayejiona umekamilika, mimi sina tatizo na kufanya kazi na shoga,mradi hatuzungumzii jinsia zetu katika maisha ya kila siku.
ReplyDeleteHata kama ushoga upo nyumbani ni lazima tuupinge kwani hata hao mashoga hawakuzaliwa na nyege za mikunduni. Ni baada ya kufanyiwa na watu wasiokuwa wema. Wanavyosema watu tatizo la huo mchezo ni kwamba ukishaonja unajikuta unataka tu kila saa. Ni lazima tuwatafute na hao wanaowafira ili tuwaangamize. Hapo ndipo tutakuwa tumeweza kupambana na ushoga. EE MOLA IEPUSHE TANZANIA NA LAANA HII INAYOTAKA KULETWA NA WENYE PESA.
ReplyDelete