Waziri wa Sayanzi, Teknologia na Mawasiliano,Prof. Makame Mbarawa (tai nyekundu) akisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Maxcom Africa wakati wa sherehe ya uzinduzi wa mradi uitwao TANZICT na DTBI kwa ajili ya kuwasaidia wawekezaji wadogo kwenye sekta ya mawasiliano yaani ICT jijini Dar es Salaam jana. Maxcom Africa ni Kampuni inayoongoza katika kutoa huduma za malipo kupitia mtandao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...