WAZIRI wa Maji, Profesa Mark Mwandosya, akizawadiwa na Kamanda wa Vijana wa CCM Kata ya Kivukoni, Dar es Salaam, Sharik Choughule, alipokwenda kumjuliahali nchini India, ambako amelazwa kwa matibabu.
WAZIRI wa Maji, Profesa Mark Mwandosya, akizungumza na Kamanda wa Vijana wa CCM Kata ya Kivukoni, Dar es Salaam, Sharik Choughule, aliyekwenda kumjuliahali nchini India, juzi, ambako amelazwa kwa matibabu.
pole mwandosya MUNGU atakusaidia utapona..
ReplyDeletePole sana Mheshimiwa Mwandsya. Mungu azidi kukutia nguvu na kukupa amani wakati huu mgumu wa kuumwa
ReplyDeletePole mzee, Mwenyezi Mungu atakunyooshea mkono wake, maana ni mwingi wa rehema na neema.
ReplyDeleteakizawadiwa maua!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKumjulia hali mgonjwa ni moyo wa kiutu na kiubinaadam, tudumu na Moyo huo, Pole Mwandosya pamoja tujenga mshikamano!
ReplyDeletePole sana Mark Mwandosya Mungu atakupa afya na utaenedelea vizuri na kazi pamoja na maisha.
ReplyDeletesawa kabisa. bora nyerere angekuwa hai manake kila kiongozi siku hizi akiumwa mafua, tumbo la kuhara safari india. sie tutaishia amana na nwananyamala
ReplyDelete