KIONGOZI wa shughuli za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika Benki ya Dunia, Ida Manjolo, akielezea jinsi benki hiyo ilivyoridhishwa na mfuko huo unavyotekeleza majukumu yake, jana wakati wa kongamano la awamu ya tatu ya TASAF. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Ladislaus Mwamanga.
WADAU wakiwa katika kongamano la maandalizi ya awamu ya tatu ya TASAF, lililofanyika jana, katika Hoteli ya White Sands, Dar es Salaam.
WASHIRIKI wa kongamano la maandalizi ya awamu ya tatu ya TASAF, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mapumziko.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...