Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimina na Viongozi wa Kampuni ya Globeleq-Songas kabla ya kuzungumza nao, ofisini kwake Mjini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji, Christopher Ford, Paul Kunert, Mikael Karlsson na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya 1 Plus Communication, Fina Mango.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Globeleq-Songas walipomtembelea leo.Kutoka kulia ni Bw. Mikael Karlsson,akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya 1 Plus Communication, Fina Mango,Mkurugenzi Mtendaji wa Songas,Christopher Ford na Paul Kunert.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Esther Matiko (kushoto) na Leticia Nyerere kweye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecelakwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Dada Fina japo kapingua urafiki namkubali,mpiganaji mzuri
ReplyDeleteChe