Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi wa Shirikisho la Urusi (Russian Federation) Bw. Alexandra Alexandrovich Rannikh baada ya kukutana na kuongea nae leo Ikulu jijini Dar es salaam. Juu kosho na chini katikti  ni mkalimani wa balozi Bw Nikita Rassokhin. (Picha na Ikulu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hapo mbona umeme haukatiki? Vitaa vya rangi vinawakatu. Mnh!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...