Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idi akipeana mikono na waheshimiwa na wananchi mbalimbali waliofika kumpokea katika uwanja wa ndege wa Zanzibar pindi alipowasili akitokea nchini Marekani kwa ziara ya kikazi.
Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa Habari katika ukumbi wa uwanja wa ndege wa Zanzibar mara baada ya kurudi nchini akitokea katika nchini Marekani.
Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Idi akimsikiliza muandishi wa habari Farouk Kareem katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa uwanja wa ndege wa Zanzibar mara baada ya kurudi safari yake ya kikazi kutoka nchini marekani.PICHA NA HAMADI HIJA -MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi, tunasema 'MAKAMU' sio 'MAKAMO'. Hilo neno unalotumia wewe lina maana nyingine kabisaaaaaaaaaa ingawa bado ni kiswahili. Unaweza kusema ....Mzee wa makamo....lakini huwezi kusema 'Makamo wa Rais...'Kiswahili jamani Michuzi. Wanafunzi pia wanasoma blog hii, chonde chonde, usituharibie watoto

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...