Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa Mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza leo Novemba 10, 2011  kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam. 
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Jumanne Maghembe, akizungumza wakati wa Mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza leo Novemba 10, 2011  kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam. 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Mohamed Muya, akizungumza wakati wa mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza leo Novemba 10, 2011  kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Prof. Jumanne Maghembe, wakati walipokuwa akiongoza Mkutano wa   Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza leo Novemba 10, 2011  kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Prof. Jumanne Maghembe, baada ya kuwasili kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza kwa ajili ya kuongoza majadiliano ya mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na Kilimo,ulioanza leo Novemba 10, jijini Dar es Salaam. Makau wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na kilimo, baada ya kuongoza mkutano huo leo Novemba 10, katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...