Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Globeleq - Songas ambayo ni kampuni ya Songas,Bw Mikael  Karlsson wakati viongozi wa Songas walipomtembelea Rais kwa mazungumzo nae leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa Songas Bw Christopher Ford na maofisa wa kampuni hiyo leo Ikulu jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya 1 Plus Communicatios,Fina Mango aliekongozana kiongozi huyo na ujumbe mzima.Picha na Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. What is the meaning of this lobbying while there is the information that Songas are operating below capacity? are they greasing up difficulties ? tutafika kweli?

    ReplyDelete
  2. nimeipenda sana hii office ya raisi. hongera kwa interior designer wa hii office. je bwana president tuna faidi kitu gani kutoka hiyo gas au hawa watu wanachimba na kutugaia kidogo. please make sure watanzania tuna faidi na sio hao watu peke yao.

    ReplyDelete
  3. Hatutafika mdau wa kwanza hapo juu.
    Bongo tunakazi sana kuendelea.
    Alafu nchi imeingiliwa, yaani kila sehemu wazungu tu, hivi kwani sisi hatuna wataalam wazalendo???
    Wabongo kibao wako nje na shahada na Phd kibao hatutaki kuwatumia tunapapatikia eti wazungu, ambao hata shule zao hakuna.
    Ama kweli tunapenda ukoloni.

    ReplyDelete
  4. so huyu fina kabebwa kama nani?

    ReplyDelete
  5. Songas inamilikiwa kwa ubia kati ya serikali ya Tanzania (kupitia TPDC and TANESCO kama hisa asilimia 25%; IFC 20 na Globeleq asilimia 55%. (plus or minus).

    Bomba kubwa la gesi ambalo wachina wamejitolea kulijenga na kutupa mkopo pia ndilo linalowaletea tabu na wasiwasi kwa wabia hawa ambao wanataka kazi hiyo waifanye wao kwa mtaji wao kutoka ulaya na kuichaji serikali.
    alex bura dar

    ReplyDelete
  6. Sasa Fina Mango anaingiaje hapo??!! Mh na mie naye umbeya utaniua!!!!

    ReplyDelete
  7. Fina Mango ni PR consultant, au lobbyist. She is doing really well, mtakalia kuponda tu, do something!!!

    ReplyDelete
  8. FINA HONGERA FROM MTANGAZAJI TO MD of a company ambayo inaonekana ipo vizuri!big up and all da best!

    ReplyDelete
  9. Mimi nina swali moja,,ila atakayeona anijibu iwe kwa kunielewesha.Kwanini huyu mlinzi wa raisi anasimama nyuma ya rais mpaka ikuru??mimi nadhani kwamba nchi ya Tanzania ni nchi ya amani, lakini huu ulinzi wa rais umezidi!!au kuna kitu nyuma yake?nadhani hata Nkurunziza wa Burundi nchi ya vita kila siku hawezi kuwa na bodgad mpaka ikuru,,au hata Kabila wa Congo ana mda wakujiachia tuu sio mpaka awe na bodgad kila dakika?samahani watakao kwazika.

    ReplyDelete
  10. Fina hapo ni muwezeshaji, ana kampuni yake inaitwa 1Plus, yaani yeye ndio kawapigia cross wazungu waweze kuonana na Rais leo na Waziri Mkuu jana. Anon. wa Fri Nov 11, 03:46:00 AM 2011 wakati sisi tuko mjini tunachakarika wenyewe wewe unataka nani awalete hao watanzania walioko ughaibuni na phd zao? nyinyi ndio mlioko nje mnasubiri kutafuniwa kila kitu nyinyi mmeze tu? Njooni mjini hapa mpambane, mnategemea muwekezaji au mfadhli aache kumpa ajira mlipa kodi mwenzake akupe wewe?

    ReplyDelete
  11. Fina anaingia kwa ule utamaduni wa kuendesha mambo kwa UFS ,yaani urafiki urafiki...unaomba tenda sehemu unapitisha kwa GOD FATHERS ,then unapata....kwa staili hii hakuna FAIR COMPETITION ktk Tendering systems, na hii ni taswira ya jamii yenye RUSHWA ...hata ukiomba tenda ya kukusanya kinyesi cha binaadamu hupati ngó!. hii ndio Tanzania bana!!!!

    ReplyDelete
  12. Hio staili ya Ofisi kubwa ya kiongozi wetu Mkuu haikustahili wageni wakose sehemu za kuegeshea mabegi yao ,na badala yake waweke chini...ingefaa meza ndogo angalau ziwe na pallet kwa chini kila baada ya kiti ili wageni waweze kuweka mabegi yao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...