Bondia Mussa Mohamedi (kulia) akimfulumusha makonde mfululizo Bondia mwenzake,Fadhili Hassani wakati wa mpambano wa mashindano ya Kova Cup yaliyomalizika jijini Dar es salaam jana.Mussa alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu.
Mabondia wa kike Mariamu Edwer (kushoto) na Matha George wakipambana wakati wa mashindano ya Kova Cup yaliyomalizika jijini Dar es salaam, jana. Matha alishinda kwa ponti.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...