Wanafunzi wa Shule za msingi katika kijiji cha Ruaha Darajani wakiwa wamepakizana kwenye baiskeli watatu watatu (mshikaki) wakati wakitoka shuleni kuelekea majumbani kwao kama walivyonaswa na Kamera Man wa Globu ya Jamii aliekuwepo maeneo hayo hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Na hawa nao wanapaswa kuchukuliwa hatua kisheria. usugu wa kufanya makosa unaanzia pale watu wanapoanza kuvunja sheria hizi ndogondogo bila kupata karipio la kisheria.
    Wahenga wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
    Cha kushangaza ni kuwa serikali yetu kwa sasa unatumia nguvu nyingi kupambana na matokeo ya matatizo badala ya kutatua chanzo cha matatizo.
    Hawa vijana wakifanikiwa kuwa madereva wa magari nafikili wataendelea kuvunja sheria na matokeo yake ni makubwa kama sio maafa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...