Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi (katikati) akianzisha mbio za Bendera ya Taifa Za Kili Mjini Dodoma ambapo aliwaaga wanariadha 30 wanaokimbiza bendera hiyo kuelekea Moshi kupitia Kampeni ya Jivunie uTanzania inayoenda sambamba na miaka 50 ya Uhuru kwa udhamini wa Bia ya KIlimanjaro Premium Lager.
Wanariadha 30 wanaokimbiza Bendera ya Taifa ikiwa ni sehemu ya Kampeni ya Kili Jivunie uTanzania inayoenda sambamba na sherehe za miaka 50 ya Uhuru wakianza mbio hizo Mjini Dodoma jana kuelekea Moshi. Mbio hizi zimedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager. Wanariadha wengine wameanzia Mwanza na wa Dar es Salaam wanaondoka leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ebu tuwacheni eti wanariadha mnashindwa kuionyesha nchi yetu katika ulimwengu huu kama nchi jirani zinavyofanya kweli jinsi ukiona hapo kwenye picha utasema yes team ya wanariadha tunao jitahidi na mfanye kweli kulitangazia taifa letu
    by
    mkereketwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...