Kutoka Kushoto: Bw. Mohammed Kella, Mkuu wa Kitengo cha IFAD, Bw. Hubert Boirard, Mwakilishi wa IFAD nchini Africa Magharibi, Rais wa Sierra LEONE Mhe Ernest Bai Koroma, na Mwakilishi Mkazi wa UNOPS nchini Sierra Leone Bw. Omary Mjenga, wakiwa kwenye picha ya pamoja Ikulu, Freetown, walipoenda kumtembelea Rais Koroma na kuzungumzia kuhusu mradi wa kuwazesha wakulima wadogo nchini Sierra Leone.
Rais Koroma wakifurahia jambo na Bw. Omary Mjenga, wakati wanajianda kumuaga mwenyeji wao.


Hongera Omary, Wakilisha vyema
ReplyDeletewa wa waaaaaaa omary go go go zaidi,wenye wivbu wajinyonge
ReplyDeleteHongera Ndugu Omary Mjenga umetutoa kimaso maso sisi Wa TZ kwa uwepo wapo huko WEST AFRICA!
ReplyDeleteNitumie na mimi dola Omary ... nilishiriki katika kukuombea ukapata hiyo nafasi? umesahau. Nilikuomba dola 100 tu. Kelly akija New York , iweke kwenye bahasha. Naona unag'ara ndugu yangu. Mungu aendelee kukubariki
ReplyDeleteMjenga umetupa nguvu sana sisi wenzio, ulikuwa mtu wa vision, since tukiwa pale mlimani na sasa unaendeleza juhudi, wewe ni mfano wa kuigwa. keep it up mwana box 2 mwenzetu.
ReplyDeletemr. Omary, habari za siku, hongera sana kaka, kumbe siku hizi upo Sierra Leone, na cheo kikubwa hivyo, kaka husitusaha nduguzo, kama kuna kazi tukumbuke. Mimi nakuonea fahari sana, mtu mwenye malengo, na kuhakikisha kuwa yanatimia. Hongera sana aisee.
ReplyDelete