Kutoka Kushoto: Bw. Mohammed Kella, Mkuu wa Kitengo cha IFAD, Bw. Hubert Boirard, Mwakilishi wa IFAD nchini Africa Magharibi, Rais wa Sierra LEONE Mhe Ernest Bai Koroma, na Mwakilishi Mkazi wa UNOPS nchini Sierra Leone Bw. Omary Mjenga, wakiwa kwenye picha ya pamoja Ikulu, Freetown, walipoenda kumtembelea Rais Koroma na kuzungumzia kuhusu mradi wa kuwazesha wakulima wadogo nchini Sierra Leone.
Rais Koroma wakifurahia jambo na Bw. Omary Mjenga, wakati wanajianda kumuaga mwenyeji wao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hongera Omary, Wakilisha vyema

    ReplyDelete
  2. wa wa waaaaaaa omary go go go zaidi,wenye wivbu wajinyonge

    ReplyDelete
  3. Hongera Ndugu Omary Mjenga umetutoa kimaso maso sisi Wa TZ kwa uwepo wapo huko WEST AFRICA!

    ReplyDelete
  4. Nitumie na mimi dola Omary ... nilishiriki katika kukuombea ukapata hiyo nafasi? umesahau. Nilikuomba dola 100 tu. Kelly akija New York , iweke kwenye bahasha. Naona unag'ara ndugu yangu. Mungu aendelee kukubariki

    ReplyDelete
  5. Mjenga umetupa nguvu sana sisi wenzio, ulikuwa mtu wa vision, since tukiwa pale mlimani na sasa unaendeleza juhudi, wewe ni mfano wa kuigwa. keep it up mwana box 2 mwenzetu.

    ReplyDelete
  6. mr. Omary, habari za siku, hongera sana kaka, kumbe siku hizi upo Sierra Leone, na cheo kikubwa hivyo, kaka husitusaha nduguzo, kama kuna kazi tukumbuke. Mimi nakuonea fahari sana, mtu mwenye malengo, na kuhakikisha kuwa yanatimia. Hongera sana aisee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...