Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, Mhe. January Makamba akiwa kwenya maandalizi ya kupanda helikopta tayari kwa safari ya kwenda kutembelea Ocean Rig,ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi katika sehemu hiyo.Katika ziara hii wadau mbalimbali wamempongeza Mhe. January Makamba nakuelezea kufarijika kwao na kutambua kuwa Tanzania inao viongozi imara na shupavu wanaoweza kuinua Uchumi wa nchi yetu.
 Mhe. January Makamba akiwa pamoja na wadau wengine wakifuatilia kwa makini maelekezo yaliyokuwa yakitolewa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Uncle tupe habari kamili, hiyo ocean rig nini? na ziara inahusu nini? kwani wengine tunashindwa kuelewa ni kitu gani kinaendelea.

    ReplyDelete
  2. Hata mimi was about to ask the same. Ocean rig ndo nini. Uncle jifunze kutoa habari kamili bana. Picha peke yake hazitoshi

    ReplyDelete
  3. Ocean rig ni machimbo ya mafuta baharini lakini utueleze ilikuwa wapi?Tanzania?Ama inawezekana pia ikawa machimbo ya gesi!

    ReplyDelete
  4. at least Mheshimiwa havai makaunda suti. Anavaa ki western western. Yale makaunda suti ndio ishara ua ujamaa unaoendelea kutuweka pabaya.

    ReplyDelete
  5. mdau sawakabisa hata mimi hapo hakuna nilicho elewa

    ReplyDelete
  6. Hii ni rig ya kutafuta mafuta na gesi inayoendeshwa na kampuni ya Petrobras kutoka Brazil. Ipo kati kati ya bahari kutoka pwani ya Mtwara.

    ReplyDelete
  7. Mie nilichoelewa hapo ni kwamba kasifiwa kama kiongozi shupavu. Hadi 2015 ifike, mbona tutakuwa tushajua nani ni nani.

    ReplyDelete
  8. Kwahiyo ni kiongozi shupavu kwa sababu ametembelea Ocean Rig???!!!! Au.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...