Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akihutubia waumini wa kanisa Katoliki Parokia ya Nyakato Jimbo Kuu la Mwanza jana kabla ya kuendesha haranbee ya kuchangia ujenzi wa kanisa hilo kubwa kuliko yote Kanda ya Ziwa ujenzi ambao utagharimu kiasi cha shilingi milioni 700.Litakuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000 kwa wakati.Katika harambee hiyo zilikusanywa shilingi milioni 200 ikiwa ni zaidi ya mahitaji ya shilingi milioni 120.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu wa CCM Mkoa wa Mara, Mh. Christopher Mwita Gachuma (katikati) akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa muda mfupi kabla ya kuendesha harambee ya ujenzi wa kanisa, kushoto ni aliekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani,Mh. Lawrance Masha.
Mh. Edward Lowassa alitoa sadaka jana kabla ya kuendesha harambee y ujenzi wa Kanisa la Parokia ya Nyakato Jimbo Kuu katoliki Mwanza.Picha na Kamanda Mwaikenda.
Hongera sana Mhe. Lowassa. Tunakutakia mafanikio katika kugombea Urais mwaka 2015
ReplyDeleteHivi Hizi Pesa Zote Anapata Wapi?
ReplyDeleteHow come Waisalmu amewapa not more than 15M huku hii ikiwa mara ya pili kama si ya tatu anatoa zaidi ya 50M kwa wakristo.
1. Uraisi utampa Hasara iwapo Chadema watamsimamisha Zitto.
2. CCM watamuangusha iwapo Mwakyembe atasimama kwa Uraisi.
HAYA - TIME WILL TELL.
Mhe.Lowasa mbona kuabudu watu wanaweza kumuomba mungu hata chini ya miti na kwa kuwa mungu sio Ben Nkapa,Mungu upokea maombi,ungechangisha pesa za kujenga hospitali au mashule,hizi tabia za kinajeria tuziache
ReplyDeleteImeandikwa, mkono wa kushoto haupaswi kujua mkono wa kulia unatoa nini kwa ajili ya sadaka. Haipaswi mtu kuona unatoa nini/kiasi gani.
ReplyDeleteYote na yote, hongera sana Lowassa.
kuna watu watachomwa moto hapa hapa duniani kwa kumjaribu Mungu!
ReplyDeleteMdau roma
huu mchezo wa kuzomea mungu kisogoni , hatawaka mtu moto live live mchana
ReplyDeleteUmepata wapi pesa hizi? Mshara wako tunaujua.
ReplyDeleteHAPATI NG'O HUO URAIS,BADO TUNAIKUMBUKA RICHMOND DOWANS,ALIPEWA OPPORTUNITY NA RAFIKI YAKE MWENYEWE AKAIABUSE SASA NINI TENA,AENDELEE NA MAMBO YA KIJAMII KAMAA HAYO KAMA MZEE WA BUSARA KUTOKANA NA UMRI WAKE HASWA HIZO NDIO KAZI ZAKE,URAIS HAPANA!
ReplyDeleteHiyo michango itajilipa mwaka 2015
ReplyDeleteMhe.Lowasa, unayakumbuka maneno ya Baba wa taifa ulipokuwa unagombea urais kwa mara ya kwanza? kama siyo basi yatafute na uyapitie tena..
ReplyDeletehivi kweli wafrika bado tupo usingizini,Dini,Vyama vya Kisiasa ndio njia ya mkato kwa viongozi wetu
ReplyDeleteLOWASSA::::: Umri umemtupa mkono na Enzi zake zimekwisha ,sawa haki ya ki imani anayo kwa kuchangia Kanisa mwache amalize malize anajifariji tu URAISI NGĂ“!!!
ReplyDeleteHakimu ni mungu pekee yake siasa za CCM za kuchafuana na uroho wa madaraka ndio zimemfikisha Lowasa hapo alipo lkn penye ukweli uongo hujitenga, hakuna ya nyerere wala Richmond na Nyerere alikuwa binadamu wa kawaida tu alikosea sana na wakati mwingine alikuwa bias tu, na ndio maana mpaka leo hajakuwa mwenye heri. alitbana sana yule mzee eti jumapili magari mwisho saa 8 lol, TV ilikua anasa halafu bado mnamfagilia!!!!! alikuwa na wivu na alishindwa kuuzuia kutokana na sera zake za kipuuzi eti watu wote sawa, hata vidole kigangani havilingani na pengine vyote hufanya kazi moja.
ReplyDelete