Naibu Katibu Mkuu Wizara Kilimo Chakula na Ushirika,Mhandisi Mbogo Futakamba akifungua mkutano unaojadili uboreshaji wa mazao ya uvuvi na mpunga kwa ukanda wa Afrika Mashariki leo jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku tano unalenga kuwawezesha wakulima kuzalisha mpunga kwa wingi huku wakiendeleza ufugaji wa samaki katika maeneo yao ya kilimo ili kupunguza umaskini.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar es salaam.
Home
Unlabelled
mkutano wa uboreshaji wa mazao ya uvuvi na mpunga kwa ukanda wa Afrika Mashariki wafunguliwa leo jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...