World Quality Commitment Gold Trophy Awarded to MNH recently in Paris
From Left: Mr. Makwaia Makani the then Acting Executive Director of MNH receiving the trophy from President and CEO of B.I.D. Mr. Jose E. Prieto (centre) in Paris, along with Dr. Hedwiga Swai, Acting Director of Medical Services.
Muhimbili National Hospital has received the World Quality Commitment Award gold category in recognition of its commitment to quality of services, leadership, and utilization of technology, innovations and customer satisfaction.
The World Quality Commitment Convention and presentation of the 2011 International Quality Awards took place recently in Paris at the Concorde La Fayette Hotel.
The World Quality Commitment Award is presented to outstanding companies as an entity for corporate achievement to recognize leadership, quality of services offered by individual companies to its clients, use of technology,customer satisfaction and prestige of organizations in different countries throughout the world; that further their reputation and position by implementing and promoting quality culture. MNH has complied with these set standards.
This award is coordinated by Business Initiative Directions (B.I.D) based in Paris.
The voting process was carried out during the B.I.D World Congress with meetings in Paris, London, Geneva,Frankfurt, Madrid and New York over the past ten years based on one or several of the following concepts;The Quality Commitment QC100 principles, Customer Satisfaction, Leadership, Technology, Best Practice,Business Results, ISO 9000 and TQM.
Describing the Award, the President and CEO of B.I.D. Mr. Jose E. Prieto said that the awarded organizations are symbols of commitment to leadership, technology and innovation, making them models for others in their sectors.
According to Mr. Makwaia Makani, then Acting Executive Director, who was in Paris to receive the Award on behalf of the Hospital along with Dr. Hedwiga Swai, Acting Director of Medical Services said the award will stimulate the Hospital commitment to quality service delivery.
Muhimbili National Hospital has received a certificate and a gold trophy in recognition of this achievement.
The Hospital further commits itself to continued quality health care delivery to the nation.
Kaka,
ReplyDeleteNadhani kuna watu wanatutafuta uchokozi sidhani kama ni muda muafaka wa kuizungumzia Muhimbili na utendaji wake, ninachoomba huyo babu anayewapa zawadi aende pale kwa matibabu kwanza. Sitaki uchokozi wiki ndio kwanza inaanza. Mdau Tandale kwa Mtogole.
Hivi ni vichekesho. Hivi ni quality gani iliyo nayo MNH. Jamani kuna mtu ameshaenda ward ya vichaa!!!, Waandishi wa habari hebu nendeni mkavisit ile ward. Kwanza hamna ward siku hizi, hawapokei wagonjwa hata kama amevunja kila kitu nyumbani na hawalazi lakini hakujabadilika kwa quality ya infrastructure wala human resources, na lugha mbaya ipo pale pale. Nilimsikia mtu kampeleka mgonjwa hivi karibuni usiku wa manani karudishwa nae. Baadae ameambiwa ukitaka mgonjwa wako kichaa apatiwe kitanda kule unatakiwa kwenda mahakamani ukapate kibali cha mahakama.
ReplyDeleteInabidi hizi tuzo tunazopata tuziangalie upya maana kuna unafiki katika kuzitoa. Yaani MNH ilivyo na huduma duni ni ya kupewa tuzo? Wagonjwa wanalaliana, kila mahali mawodini ni kuchafu, mimaji inatiririka hovyo; halafu mpewe tuzo ya huduma bora!!!!!!!!?
ReplyDeleteHiyo tathimini imefanywa sawa lakini au babaisha toto? Maana Muhimbili vyoo vimefurika, wagonjwa wanalala kitanda kimoja watu watatu, foleni humuoni Daktari mpaka uhonge!!
ReplyDeleteNani na ni taasisi gani inatoa tuzo kama wagonjwa wa magonjwa makubwa wote wanapelekwa India. Au huko india kuna ufisadi na madaktari wa Muhimbili. Tuambiwe. Halafu siku hizi kama huna kadi ya NHIF emergency hupokelewi pale mpaka ulipe waandishi wa habari mna habari hizo? Hebu kamwoneni Afisa Uhusiano pale atoe taarifa. Umaskini umekuwa kifo jamani. Emergency hakuna huduma ya bure.
ReplyDeleteNyie waafrika hamjawafahamu vizuri wazungu.anzeni upya kuwafahamu wazungu. wakati nyie mnatambaa wenyewe wanakimbia.
ReplyDeleteNa kwa vile watu weusi tumelogwa kuwaona wao ndio wa maana kuliko sisi wenyewe basi pengo kati yetu litatuchukua karne kuzibika.
Nashangaa hao watu weusi walifata nini Paris, hawakusikia aibu kweli? hasa huyo daktari. Achana na huyo hospital administrator labda haelewi kinachoendelea.
Mama Marina (The New Director General for MNH) una kazi kweli kweli, lakini jitahidi kufunga buti.Tunakuomba na wewe usijekula dili na singa singa wa India. Boresha mazingira, set the pathway to care, control staff by using interpersonal skills, work hard to convince your top boss to provide more funds for medicine and instruments. Use evidence base for arguments. Gud Lucky Marina and sorry for those who went for trophy in Paris.
This is big Joke! Namuunga mkono mdau wa kwanza - hata mimi sitaki uchokozi.
ReplyDeletejamani hizi tunzo nyingi sikiizi , hata mweshimiwa wetu akienda kule Amerika wana mtunza sana , na u DR wameshampa ,awa wazungu wanalao jambo, hao wanaopokea hiyo zawadi nao hata awajishitukii !LOL
ReplyDeleteMie wadau nadhani muandishi amekosea kutafsiri kutoka kingereza kwenda kiswahili. hiyo nadhani ni quality award ya huduma mbovu iliyochanganyika na rushwa na ikiwa ni kweli muhimbili wamepewa Quality award basi natabiri kutatokea maajabu ya kudondoka snow katika jiji la Dar kwa mwezi wote wa December.
ReplyDeleteHivi ule mchezo wa siku ya wajinga bado huwa unafanyika tarehe moja mwezi wa nne au umehamia mwezi huu?? hawa watu wana lao jambo vinginevyo hii ni poisson d'avril kwa watanzania- bora wangekaa tu kimya kuliko kutuletea hii habari, kuzidi kutuharibia siku.
ReplyDeleteThe Hospital further commits itself to continued quality health care delivery to the nation.NINA WASIWASI NA KIPENGELE HIKI!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMpaka Waziri Mkuu Mstaafu ,alazwe MOI (MUHIMBILI TAASISI YA MIFUPA) ndio aone mambo yalivyo na aiombe Serikali aliyoongoza miaka 10 iboreshe huduma Muhimbili ,anayasema hayo sio ktk kipindi chake alipokuwa ofisini bali baada ya yeye kustaafu!
ReplyDelete