Home
Unlabelled
mtaa wageuzwa dampo la taka ngumu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Usafi ni tabia.
ReplyDeleteDaresalaam bwana..siyo hapo tu ni kila kona ya jiji uchafu uchafu..kuna mdau wiki zilizopita alituonyesha Kawe.Majiji mengine huko duniani uchafu wanaudhibiti vipi manake 'domestic waste' ziko kila pembe ya Dunia..tuige kwa wenzetu kwenye majiji makubwa.Dar inakera kwa uchafu..ukienda uko uswahilini ndiyo usiseme.
ReplyDeleteDavid V
Sasa kama hamzichukui kupeleka dampo tutafanya nini? utageuka dampo ndiyo.
ReplyDeleteTatizo municipality council au halimashauri ya mji kama walivyoibabatiza iliyokuwa ikishughulikia suala la usafi wa miji ilkufa ilivyouwawa wanajua wenyewe ndio maana yote haya hakuna dawa za kuuwa mazilio mbu wala kuzolewa taka sasa wananch wafanye nini wamechimba mashimo kuzika taka hadi mtu kamaliza eneo lote la nyumba kwa kuchimba. kazi kwenu na vyandarua vyenye sumu badala kuua mazilio
ReplyDeleteNaishukuru Michuzi blog,halmashauri yetu ni kubwa na bila kupata feedback kwa wadau ni muhimu. Kwa picha ya jana nimemweleza waste manager wetu na kwa kwakuwa eneo hilo linasafishwa na mkandarasi tayari ameagizwa kurekebisha mapungufu.
ReplyDeleteNitashukuru mtu yeyote akiona eneo chafu arushe itatusaidie kuongeza ufanisi hasa wakati huu ambapo tunafanya mageuzi makubwa kwenye sekta ya usafi lakini ukweli utabaki palepale,performance feedback is very important.
Jerry Silaa
Meya-Ilala MC
Naishukuru Michuzi blog,halmashauri yetu ni kubwa na bila kupata feedback kwa wadau ni muhimu. Kwa picha ya jana nimemweleza waste manager wetu na kwa kwakuwa eneo hilo linasafishwa na mkandarasi tayari ameagizwa kurekebisha mapungufu.
ReplyDeleteNitashukuru mtu yeyote akiona eneo chafu arushe itatusaidie kuongeza ufanisi hasa wakati huu ambapo tunafanya mageuzi makubwa kwenye sekta ya usafi lakini ukweli utabaki palepale,performance feedback is very important.
Jerry Silaa
Meya-Ilala MC