ankal naomba unipeperushie hii
mimi ni kijana kiumri nakaribia miaka 30, natafuta mwenza wa kuungana naye ili tuweze kuendesha gurudumu hili la maisha,ni mwajiriwa kwenye taasisi moja ya kifedha nchini na ninaishi kibaha,napendelea sana kunywa wine (yeyote) hasa ninapohisi uchovu baada ya kazi.
kwa kweli namtafuta msichana awe kati ya umri wa kuanzia miaka 21 mpaka 28,awe mkiristo, mweupe au rangi nyeusi inayong'aa , awe saizi ya kati si mwembamba si mnene na plz awe na elimu ya kutosha itakayomuenzesha awe na malengo baadae.
kwa yeyote atayekuwa tayari naomba tuwasiliane kupitia email
deodp2000@yahoo.com
huyu jamaa kama vile alishatoa tangazo hapa. naona "ana-do" halafu ana re-advertise
ReplyDeleteWewe ni muhini tu mapenzi hayachagui dini, rangi wala kabila na inavyoelekea wewe ni mkristo hebu nenda kwa wanamaombi wakuombee hilo pepo la ngono ulilonalo likutoke.
ReplyDeleteheheeeeee,at that age unashindwa kutongoza wasichana woooooote hao then ukapick one out of many??wacha hzo za kuujichoresha kidume
ReplyDeleteWadau kama hamwezi kumsaidia mdau, bora mnyamaze tu badala ya kuanza kumkejeli.
ReplyDeleteMimi sidhani km kuna tatizo, isipo kuwa mambo ya kujuana kupitia mtandao sidhani km ni njia nzuri ya kupata mwenzi wa maisha hasa kwa sisi waafrika. Mi nafikiri subiri na tulia kwani jambo kama hili halitaki halaka wala papala. Mtangulize Mungu na naamini utampata Mke mwema.
ReplyDeletembona hujasema shule yako una nini
ReplyDeleteUnataka blog ikungozee wasichana kama alivyosema Mai hapo juu.Wewe ni muhuni tu.
ReplyDeleteEwe kijana,fanya jitihada uoe mapema maana naona hiyo mvino inaanza kuyeyusha ubongo.Wataka mwanamke mweupe? Nikuletee jirani yangu, mzungu,yeye mvuta bangi na wewe waramba mvino,a perfect couple you will make.Tamu ya chai sukari, usidanganyike na rangi.
ReplyDeleteyaani wewe huna huwezi tongoza mpaka uandike magazetini? Au shoga wewe? maana mshoga ndio huwa wanakuja na vigezo kila siku mara hivi mara vile. Si mwanaume rijali wewe nenda katafute basha akutoe mkuno unaokuwasha
ReplyDeleteSawa, kijana ametumia ujasiri kutoa lake kwetu ingawa analalamikiwa na baadhi yetu,,,hii ni haki yake ila awe kivitendo zaidi na kwa dhati, akumbuke ''KUPIMA'' yeye na huyo mtarajiwa,,,, UUNGWANA NI VITENDO!
ReplyDeleteWaswahili ndio maana maendeleo yanatupiga chenga. Kutumia njia ya mtandao kutafunza mwenza ni mojawapo tu ya njia za kisasa katika kupanua wigo maana hapo tena aweza hata apate Mtanzania aishie Japani. Sasa ninyi wengine mliofikia kumtusi mshikaji kinakuwasheni nini? Sana sana tungemtaka ajieleze zaidi, kadai anataka mweupe, yeye mweupe? ataka mwenye elimu, yeye elimu yake imekaaje? Matusi hayahitajiki kama hamna msaada wekeni vinenanhii chini!!
ReplyDeleteMdau Ughaibuni.
Mpango wake kijana nau unga mkono kwa kuwa ametaka apate mtu ktk mazingira huru yasiyo na uratibu kupita kiasi na maingiliano...AMEEPUKA SUMU KALI KAMA FITNA NA MAJUNGU si unajua jamii zetu zilivyo bana?..kwa kuwa vitu hivyo vina matatizo yake ktk mahusiano...AMEWEKA KITU KAMA 'FAIR COMPETITION'!
ReplyDeleteSioni ubaya mtu kutafuta mwenzi kwa njia ya mtandao. but uwe makini......
ReplyDeleteWaif materials sikuhizi ni adimu sana, usije nunua mbuzi kwenye kigunia.