Wananchi pamoja na watalii wanao tumia barabara inayo unganisha Mikoa yaAarusha na Manyara leo wamekwama baada ya mto kirurumo uliopo maeneo ya mto wa mbu kukatika na barabara na kujaa mawe.hali hii imefikia mara baada ya mvua kubwa kunyesha katika eneo hilo. kwa mujibu wa wananchi na wakazi wa eneo hilo, inasemekana kuwa mpaka hivi sasa ni mtu mmoja anaesakika kupoteza maisha kutoka na hali hiyo iliotokea kwenye mto huo ambao umefurika sana.Picha na Chris Mfinanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. EE jmani hiyo ni mvua ya hatari,yaani imesomba mawe kiasi hicho
    EE Mungu atukinge na mvua kama hizo
    Ahlam UK

    ReplyDelete
  2. Jeshi liko wapi, Tanzania hana vita. mambo kama haya nchi nyingine Jesh lingekuwa limeisha jenga barabara ya Munda.

    ReplyDelete
  3. Hiyo ni mvua kweli au???? naona mkono wa mtu , Chadema hawahusiki kweli fanyeni uchunguzi

    ReplyDelete
  4. anon na chadema haya tunakusikia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...