Katibu wa NEC wa uenezi na itikadi wa CCM Nape Nnauye akiongea na wanahabari muda mfupi uliopita makao makuu ya chanma hicho, akiwapa taarifa ya kinachoendelea na kuomba wanahabari wadumishe weledi na ukweli wanapoandika na kutangaza habari.
Ameeleza kushangazwa na habari ambazo chanzo chake si za chama hicho zinazoleta kile alichokitaja kama 'tension' miongoni kwa wananchi, na kwamba dhana ya kujivua gamba inaelezwa ndivyo sivyo wakati CCM inamaanisha kujijenga zaidi katika mfumo wa kisasa na sio kundama mtu mmoja mmoja.
Ameahidi kusema mengi baada ya kikao cha Halmashauri kuu kinachoanza kesho, na mchana huu kikao cha uslama na maadili kimemalizika na kinafuata cha Kamati Kuu.
Huyu bwa mdogo kwishney tayari keshachakachuliwa kashasahau utumbo aliokuwa anabwabwaja kuhusu mapacha wa-3 juzikati salaleh hapa ccm haina mtu
ReplyDelete