Home
Unlabelled
cheka unenepe: piga, ua garagaza india noma....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du willy brown upo hapo?
ReplyDeleteYaani hiki ni kiroja cha mwaka,,hivyo viatu kavivua kuingia msikitini au wapi jamani!,,na huyo mtu kamuweka mtoto miguuni au ni sanam,,,eee hiyo kali Bongo tunanafuu,,huwo mkutano wa mtu mmoja tu na hajakaa kachuchumaa yuko ready kuondoka....Muuu,,kituko!!!Baiskeli kama tuko Tanga,,kunani kule!,,Ahlam UK
ReplyDeleteanco mich nnakufa kucheka wallah hawa watu nyi muwaone tu huko nyumbani yaani kunahao wanaotokea india kusini wanaitwa wakerala yaani ndiyo kabisaaa matatizo unaweza umkute anabrash yaani kuswaki kwa sinki ya jikoni.
ReplyDeleteKwa hali halisi inayo wakabili Wahindi kwao, ya mazingira magumu ya maisha na changamoto kama hizo ktk picha ,Mhindi akija Bongo harudi kwao mpaka awe tajiri!
ReplyDeleteKulaleki haya ndio mambo ya India bana..!!! Du!, kwa mtaji huu Uhamiaji Bongo waimarishe mipaka maana Mhindi akinusa Bongo ataona amefika peponi!
ReplyDeleteLoh Bongo tuna matatizo kidogo ya kimaisha lakini hii ni kubwa kulioko zote!
ReplyDeleteMshike mshike na Libeneke la kimaisha kama hili nyumbani India...vinafanya mtu uwe na akili ya ziada akifika ugenini!
ReplyDeleteMsala wa kimaisha ukiusikia ndio huu, hadi ndala zimepigwa pini!
ReplyDeleteMhhh...hiyo Mdau kupanda basi la wanawake (WOMEN SPECIAL) ndio kulipia nusu bei?, msaada kwenye tuta? au ndio bei ya pasipoti size sio?
ReplyDeleteAhhh kwa mtaji huo bora niende kwa miguu hata mbali kama Mbagala nitapiga teke tu Inshallah nitafika!
Mhhh...hiyo Mdau kupanda basi la wanawake (WOMEN SPECIAL) ndio kulipia nusu bei?, msaada kwenye tuta? au ndio bei ya pasipoti size sio?
ReplyDeleteAhhh kwa mtaji huo bora niende kwa miguu hata mbali kama Mbagala nitapiga teke tu Inshallah nitafika!
yaani kazi kweli kweli
ReplyDeleteDuhh ..basi la (women speacial) kupanda wanaume ,,,,sasa hayo ndio mambo ya Donald Cameron au sio?
ReplyDeletekwa mimi mwanaume Sanjeev Kuumaari kupanda basi la wanawake (Nyumbani India)....kulaleki nikifika majuu (Tanzania) ,lazima nifanye kweli ,nitakufa na mtu!
ReplyDeleteYamenikuuuuta , yamenikutaaa, yamenikuuuta !!!! mimi Stering wa Sinema za Kihindi kupanda basi la kike (women special) hii ni dalili ya bundi kuunguruma na kuwa maisha yamenishika!!1
ReplyDeleteHhahahaha ,Ankal haya ndi yale mambo ya msaada wa kibinaadam unafika kituo cha daladala,,,unamvuta konda (mikoba) pembeni ya mlango kabla ya kupanda unatoa siri yako kama huna kitu kabisa au unacho ila pungufu anakwambia ingia....!!!
ReplyDeleteUhhhhh, ama kweli wakati mwingine school bus / mabasi ya wanafunzi au mabasi ya wafanyakazi wa kike (Women Staff Buses) yanatutoa kiaina, ndio kama hapa huko Udosini kwa wajanja!!!
ReplyDeleteDuh nimepatikana!!!! , mimi Star wa Kihindi kupandishwa basi la wanawake ni kama nimeingizwa CHOO CHA KIKE!
ReplyDeleteDuhhhh Mhindi mjasiriamali kama sio mchumi...kwa basi (women special ingekuwa Bongo hakuna atakaekubali kupanda basi la mademu labda iwe usiku tena kwa kujificha na hakuna jinsi usafiri mgumu!,,,,hakuna nini wala nini hapa Wahindi ni suala la kupata hati punguzo, ni kiasi cha nusu bei tu!
ReplyDeletehahahahah! uncle umenifurahisha kweli.. india Noma lol
ReplyDelete