Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa band" aka FFU,yanye makao yake nchini Ujerumani,wameachia hewani CD mpya yenye nyimbo za miaka 50 ya Uhuru.Nyimbo zilizomo katika CD hiyo ni utunzi na uimbaji wake kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja akiimba kwa kushirikiana na Chris-B,mpiga solo wa kikosi hiko,habari za uhakika zimetonya kuwa nyimbo hizo zimetua pia katika blog mashuuri ya Michuzi,pia vituo vya Redio vya Deutche Welle mjini Bonn,Radio VOA ya Washington,Radio Free Africa,Mwanza,vimepoke nyimbo hizo ambazo wakati wowote zinaweza kutoa burudani kwa wananchi katika shamra shamra za miaka 50 ya uhuru.Nyimbo hizo mbili (1) Miaka 50 Uhuru(rumba) na 2. 50 Uhuru Shangwe,Zinasikia pia at www.ngoma-africa.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hi,kikamanda ketu Ras Makunja ffu na kikosi chako ngoma africa au ffu aka watoto ya mbwa,naona hii kali ya kumalizia mwaka au? kazi nzuri sana watoto wa mbwa bin ffu

    ReplyDelete
  2. Kamanda ffu,mbona tulijua tuu lazima mtakuja na virungu vipya vya kutisha,naona mmehamua kufunga kasi,kazi mnaiweza sema tu mnapogeuza ulimi wenu ni watoto wa mbwa,lakini katika gwaride ni ffu wa kweli

    ReplyDelete
  3. hey ffu hongereni sana kwa kuleta mpya,nyinyi mnakubalika,kila anayewapitia mbela yenu basi lazima mtambwakia,gwaride lenu la kiaskari kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...