Baada ya takribani week moja kutokuwa hewani, site ya Bongo Star Link,sasa imerudi kwa jina lake la zamani ambalo lilikuwa likitumika kama www.djchoka.blospot.com.hii ni kutokana na matatizo ya domain ya jina la www.bongostarlink.com.
Wapenzi na mashabiki mnaombwa radhi
kwa usumbufu wowote uliojitokeza kwa siku hizi kadhaa.
Shukrani,Dj Choka.
bado haifunguki!
ReplyDeleteMbona kafanana sana na MROKY a.k.a FADHA KIDEVU?
ReplyDeleteNi Kaka yake?
hana hela ya kulipia domain aseme ukweli tumchangie
ReplyDelete