President Jakaya Mrisho Kikwete receices HRH Prince Alwaleed Bin Talal Bin Abdulaziz Alsaud, Chairman of Kingdom Holding Company (KHC), at the State House in Dar es salaam today. HRH Prince Alwaleed was in Dar es salaam for a one-day visit during which he held talks with President Kikwete and First Lady Salma Kikwete on various issues, particularly his interest to help the development of Nakayama Girls High School in Rufiji, Coast Region, run by the Wanawake na Maendeleo organisation chaired by Mama Salma Kikwete
President Jakaya Kikwete in talks with HRH Prince Alwaleed Bin Talal Bin Abdulaziz Alsaud, Chairman of Kingdom Holding Company (KHC) who was accompanied by his wife (left) Right is First Lady Salma Kikwete
President Jakaya kikwete gestures as he takes HRH Prince Alwaleed Bin Talal Bin Abdulaziz Alsaud, Chairman of Kingdom Holding Company (KHC) and his wife for a tour of the State House gardens
![]() |
Presdent Jakaya Kikwete and his guest HRH Prince Alwaleed Bin Talal Bin Abdulaziz Alsaud, Chairman of Kingdom Holding Company (KHC), and their wives listen to the Chairman of Board of Directors of the Wanawake na Maendeleo (WAMA) organisation, Dr Ramadhani Dau, as he thanks HRH Prince Alwaleed for his pledge to help WAMA in the organisation's efforts to developing Nakayama Girl's High School in Rufiji, Coast region |
Prersident Kikwete with HRH Prince Alwaleed Bin Talal Bin Abdulaziz Alsaud, Chairman of Kingdom Holding Company (KHC), and their wives take a tour of the State House grounds in Dar es salaam today.
For these and more activities by President Kikwete
visit the State House Official blog www.ikulublog.com
For these and more activities by President Kikwete
visit the State House Official blog www.ikulublog.com
Huku Prince Alwaleed si mchezo. Jamaa wanamuita Arabian Warren Buffett. Jamaa ni mkali sana kwenye masuala ya uwekezaji. Ndio largest shareholder wa Citi Bank.
ReplyDeleteDuuh kuwa bilionea kunafuatana na kuwa na mke mzuri. Hela raha kweli kweli.
ReplyDeleteNimefurahi kuona first lady wetu hajavai baibui au mtandio. Si mnaona wenzetu wanavyovaa na kupendeza? Haya mambo ya mtandio ni ya Afghanistan pekee yake, wamebakia hao tu wengine wote ni suti...mama yetu achana na mitandio na burqa..ya nini? Huko dini ilikoanzia wanavaa suti sisi tupo tupo tu na miguo mikubwa mikubwa ya kinigeria. TUBADILIKE.
ReplyDeleteMichuzi naomba usibanie huu ujumbe.
Prince Alwaleed Bin Tala Bin Abdulaziz Alsaud pia ni mmiliki wa Hoteli kubwa na maarufu duniani iitwayo Savoy iliyopo jijini London, Uingereza ambapo mabilionea na wakuu wa makampuni makubwa duniani hufika na kulala jijini London.
ReplyDeleteJe pamoja na masuala ya elimu suala la uwekezaji ktk utalii lilizungumzwa? maana jina la huyu Prince linaambatana uwekezaji makini ambao ungeweza kuiongezea mapato ktk utalii na mahoteli. Idara ya mawasiliano ikulu mna cha kuongeza ktk ujio wa huyu mfanyabishara makini?
Mdau
Jijini London
HUYU JAMAA NI PRINCE WA NCHI GANI?
ReplyDeleteWewe anony wa tano umeongea pumba tupu, toka sentaso ya kwanza mpaka ya mwisho unapomuomba michuzi asiibane hoja yako. Kwa ufahamu wa hali ya juu alionao michuzi ameona aitoe tu ili ufurahi.
ReplyDeleteTangu leo uelewe kuwa mavazi yanakwenda na utamaduni yaani ni kitambulisho (identity)pia yanavaliwa kufuatana na wakati na shughuri inayafanyika wakati huo (tukio). Ninaomba ujue kuwa viongozi wa juu wanaowashauri wanaowashauri wavae nini kwa tukio furani.Kwa hiyo basi makoti unayoyadai (au unayoyapenda) Kanzu, vibandiko, tai za rangi mbalimbali, baibui, Mitandio, nguo za ki-nigeria na kente
(vazi la mgolole alilowahi kulivaa baba wa taifa na simba wa vita Mh. R.M. Kawawa miaka ya mwanzo baada ya kupata uhuru) vyote vina maana fulani au tafsili yake. Pia mtu anaweza kuonyesha msimamo wake juu ya jambo fulani kwa kutumia mavazi aliyvovaa. Kwa hiyo basi hakuna vazi baya, ila kuna ujumbe katika kuvaa.
Je, hiyo imekusaidia? Kama una swali tafadhali uliza ili tuendelee kuelimishana wadau maana ndiyo lengo la blog hii.
try to grasp the wealth of a man here
ReplyDeleteHuyu si mwekezaji mgeni ndiye aliyewekeza Moevenpick Hotel Dar es salaam baada ya Royal palm kuuzwa,pia amewekeza ,CNN,CITI GROUP,kampuni ya uendeshaji wa mahotel ya Moevenpick,HP,Apple n.k.Kwa taarifa zaidi tembelea www.kingdom.com.sa
ReplyDeleteAnony Sun Nov 06, 01:12:00 AM 2011.....Unaonekana kama mnafiki, mbona huko dini nyingine ilikotokea wanawataka muende na wakati muwakubali wasenge halafu mnakuwa wakali kama mbogo. Acha ujinga wewe.
ReplyDelete