Prince Charles (kushoto) akiwa na mazungumzo na Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, Ikulu mjini zanzibar.
Mapokezi ya Prince Charles na mkewe Camilla wakiangalia ngoma ya kibati baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Zanzibar leo. Picha na Martin kabemba.

Mwanaisha Ali (kulia) akimpaka hina Camilla baada ya kutembelea uwanja wa Ngome kongwe mjini Zanzibar 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Royal umbrella

    ReplyDelete
  2. Imeshageuka na kuwa Royal Hina, mtaguso.

    ReplyDelete
  3. Tabasamu zote hapo zimehifadhiwa katika kumbukumbu kama Royal Smiles, upako.

    ReplyDelete
  4. Kwao huku hina inapigiwa debe kuwa salama kuliko "Tatoo" zao. Siwajinga hao wanaijua hina. Ukweli hina ni utamaduni tuliojifunza kutoka kwa waarabu!!

    ReplyDelete
  5. Ngoja awe allergic na hiyuo hena itakuwa apatoshi.

    ReplyDelete
  6. Nimeamini wazungu wanaishi umri mrefu, yaani muonekano wa uzee wa prince bado ana wazazi wote wawili, ingekuwa hapa bongo angekuwa ameshawasahau.

    ReplyDelete
  7. Diet yao hawa inapikwa na watu wenye Ph.D za upishi, sio wewe unaekula maharage na mrenda unaweka karanga tele.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...