Kikosi cha Simba.
 Kikosi cha Moro United.
Mshambuliaji wa Moro United, Gaudence Mwaikimba akimtoka beki wa Simba, Shomari Kapombe wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye uwanja wa Azam,Chamazi jijjni Dar.Matokeo ya mchezo wa leo ni Simba 3-3 Moro Utd.
 Moja ya Heka heka katika lango la Moro United. 
 Mashabiki wa Simba wakiwalalamikia viongozi wa timu hiyo baada ya kutoka sare ya 3-3 na Moro United.
Kipa wa Simba, Juma Kaseja (kati) akijadiliana jambo na kaimu kocha wa Simba, Seleman Matola (shoto) pamoja na Daktari wa timu hiyo mara baada ya kumalizika kwa mchezo kati yao na Moro Utd leo.Picha na Francis Dande.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Probably this is the end of the Simba for this season. They put too much effort on one match aganist Yanga. In reallity all games carry equal points. Good luck.

    ReplyDelete
  2. Picha ya pili kutoka Mwisho KAKA MICHUZI ilibidi Maelezo yake yawe kama ifuatavyo:
    JAMANI MBONA MNATU YAYUSHA/CHANGANYA MWENYE KOFIA ANASEMA YANGA KATUFUNGA MOJA NA WA MWISHO ANASEMA NA MORO NAYE TATU WAKATI ANASEMA KAMA VIPI SISI TUTAHAMA TIMU TWENDE YANGA.
    MDAU CAIRO GM
    NAWAKILISHA

    ReplyDelete
  3. simba vp tena?unashindwa ku unguruma!!

    ReplyDelete
  4. Hivi kweli hivyo viwanja watu wanalipa viingilio kweli,halafu wana kaa chini!!,Tz tupo wapi?miaka 50 ya uhuru bado tupo vilevile!! aibu.

    ReplyDelete
  5. mangi wa KiboshoNovember 03, 2011

    Kaseja amekwisha jamani mtafuteni kipa mwingine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...