Kikosi cha Simba.
Kikosi cha Moro United.
Mshambuliaji wa Moro United, Gaudence Mwaikimba akimtoka beki wa Simba, Shomari Kapombe wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye uwanja wa Azam,Chamazi jijjni Dar.Matokeo ya mchezo wa leo ni Simba 3-3 Moro Utd.
Moja ya Heka heka katika lango la Moro United.
Mashabiki wa Simba wakiwalalamikia viongozi wa timu hiyo baada ya kutoka sare ya 3-3 na Moro United.
Kipa wa Simba, Juma Kaseja (kati) akijadiliana jambo na kaimu kocha wa Simba, Seleman Matola (shoto) pamoja na Daktari wa timu hiyo mara baada ya kumalizika kwa mchezo kati yao na Moro Utd leo.Picha na Francis Dande.
Probably this is the end of the Simba for this season. They put too much effort on one match aganist Yanga. In reallity all games carry equal points. Good luck.
ReplyDeletePicha ya pili kutoka Mwisho KAKA MICHUZI ilibidi Maelezo yake yawe kama ifuatavyo:
ReplyDeleteJAMANI MBONA MNATU YAYUSHA/CHANGANYA MWENYE KOFIA ANASEMA YANGA KATUFUNGA MOJA NA WA MWISHO ANASEMA NA MORO NAYE TATU WAKATI ANASEMA KAMA VIPI SISI TUTAHAMA TIMU TWENDE YANGA.
MDAU CAIRO GM
NAWAKILISHA
simba vp tena?unashindwa ku unguruma!!
ReplyDeleteHivi kweli hivyo viwanja watu wanalipa viingilio kweli,halafu wana kaa chini!!,Tz tupo wapi?miaka 50 ya uhuru bado tupo vilevile!! aibu.
ReplyDeleteKaseja amekwisha jamani mtafuteni kipa mwingine
ReplyDelete