Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifanunua jambo wakati wa tamasha la siku ya familia iliyowajumuisha wafanyakazi wa benki hiyo pamoja na familia zao na kufanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa wateja wa benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza katika tamasha la siku ya familia iliyowajumuisha wafanyakazi wa benki hiyo pamoja na familia zao.
Baadhi ya Wafanyakazi wakicheza mpira katika tamasha la siku ya familia iliyowajumuisha wafanyakazi wa benki hiyo pamoja na familia zao.
Kulikuwepo na michezo mbalimbali,ambapo Wafanyakazi walishiriki katika tamasha la siku ya familia iliyowajumuisha wafanyakazi wa benki hiyo pamoja na familia zao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...