Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akizungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw Tim Clarke kuhusu Msimamo wa Tanzania na wa Umoja wa Ulaya Kwenye Mkutano ujao wa Mabadiliko ya Tabianchi Utakaofanyika Durban Afrika ya Kusini Unaotarajiwa kufanyika Novemba 28 hadi Desemba 9, 2011[Picha na Ali Meja}
Home
Unlabelled
waziri wa nchi ya ofisi ya makamu mazingira Dk Terezya huvisa akutana na balozi wa umoja wa ulaya nchini,bwa tim clarke
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...