Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Pool,Abdallah Hussein akipiga mpira katika mchezo uliochezwa jana usiku mjini Babati Mkoani Manyara,ikiwa ni sehemu ya mazoezi ya timu hiyo ya Taifa inayojiandaa na mashindano ya ALL AFRICA CUP 2011 ambayo yanatarajiwa kufanyika nchini Afrika ya Kusini mara baada ya kuahirishwa yale ya awali yaliyokuwa yamepangwa kufanyika nchini Malawi.Timu ya Taifa ya Pool ilishinda katika mchezo huo kwa magili 13-5 dhidi ya timu ya mkoa huo wa Manyara.
Mchezaji wa Timu ya Pool ya Mkoa wa Manyaya akionyesha uwezo wake mbele ya wachezaji wa Timu ya Taifa ya Pool ambayo imetembelea Mkoani Manyara kwa mchezo wa kujipima nguvu na timu ya mkoa huo.hadi mchezo huu unamalizika,Timu ya Taifa iliongoza kwa magoli 13 - 5.
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Pool wakipongezana mara baada ya kupata ushindi mnono dhidi ya Timu ya Mkoa wa Manyara waliyoichapa magoli 13-5.
Goli katika pool ni baada ya tukio gani? Ni goli au round?
ReplyDelete