Waziri wa Habari, Utamaduni Utalii na Michezo Abdillah Jihadi Hassan akisoma Hotuba ya Ufunguzi wa Shindano la Utenzi awamu ya Pili la kuimarisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.
Waziri wa Habari, Utamaduni Utalii na Michezo Abdillah Jihadi Hassan (Mwenye Suti katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Shindano la Utenzi la kuimarisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.PICHA NA Hamad Hijja-Maelezo Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...