Baadhi ya wafanyaki wa kukusanya taka ngumu katika mitaa ya Manispaa ya Morogoro, wakimwanga uchafu kwenye mabaketi yaliyowekwa maeneo maalumu na Halmashauri ya Manispaa hiyo, kama walivyokutwa na Kamera Man wa Globu ya Jamii, hata hivyo uchafu huo unachelewa kuondolewa na Mamlaka husika kutokana na sababu zinazoelezwa ni uhaba wa magari ya kusombea taka hizo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. na ww wacha kuharibu lugha ufinyu wa magari ndio kiswahili cha wapi?
    neno sahihi hapo ni UCHACHE AU UPUNGUFU,
    kaka hawa wengine waangalie wasiharibu lugha ya taifa

    ReplyDelete
  2. ILI KUSAHIHISHA NA KUREKEBISHA UPUNGUFU HUO WASILIANA NA WANA CCM UK WAKO TAYARI KUJITOLEA BURE KUWATAFUTIA MAGARI HAYO YENYE BEI NAFUU NA HALI NZURI.

    HALMASHAURI/MANISPAA ZIOMBE UPENDELEO KTK SHERIA YA UNUNUZI WA VIFAA VYA SERIKALI ILI KUTATUA MATATIZO YA AFYA NA MAZINGIRA.

    MAINA OWINO
    UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...