Baadhi ya wafanyaki wa kukusanya taka ngumu katika mitaa ya Manispaa ya Morogoro, wakimwanga uchafu kwenye mabaketi yaliyowekwa maeneo maalumu na Halmashauri ya Manispaa hiyo, kama walivyokutwa na Kamera Man wa Globu ya Jamii, hata hivyo uchafu huo unachelewa kuondolewa na Mamlaka husika kutokana na sababu zinazoelezwa ni uhaba wa magari ya kusombea taka hizo.
Home
Unlabelled
ufinyu wa magari ya kusombelea taka mkoani morogoro wasababisha mlundikano wa taka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
na ww wacha kuharibu lugha ufinyu wa magari ndio kiswahili cha wapi?
ReplyDeleteneno sahihi hapo ni UCHACHE AU UPUNGUFU,
kaka hawa wengine waangalie wasiharibu lugha ya taifa
ILI KUSAHIHISHA NA KUREKEBISHA UPUNGUFU HUO WASILIANA NA WANA CCM UK WAKO TAYARI KUJITOLEA BURE KUWATAFUTIA MAGARI HAYO YENYE BEI NAFUU NA HALI NZURI.
ReplyDeleteHALMASHAURI/MANISPAA ZIOMBE UPENDELEO KTK SHERIA YA UNUNUZI WA VIFAA VYA SERIKALI ILI KUTATUA MATATIZO YA AFYA NA MAZINGIRA.
MAINA OWINO
UK