Ambassador Alfonso E. Lenhardt presents books and sports equipment to students at the Kisiwani Primary School in Kilwa Kisiwani.
Ambassador Alfonso E. Lenhardt and students at the Kisiwani Primary School in Kilwa Kisiwani.
Ambassador Alfonso E. Lenhardt (fourth from right), District Executive Director Stephen Mapunda (third from right), Public Affairs Officer Dana L. Banks (fourth from left), Peace Corps Country Director Andrea Wojnar-Diagne (second from left), and Kilwa District and Ministry of Natural Resources and Antiquities Division officials in Kilwa Kisiwani.
Ambassador Alfonso E. Lenhardt meets Kilwa District Commissioner Nurdin Babu (center), and CCM Chairman of the Kilwa District Council Ally Mohamedi Mtopa (right).
Ambassador Alfonso E. Lenhardt addresses students at the Ilulu Girls' Secondary School in Lindi.
Ambassador Alfonso E. Lenhardt and students at the Ilulu Girls' Secondary School in Lindi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Naona Embasadooo kavaa kombat la CHADEMA au macho ya ngu yamepitwa na wakati.

    ReplyDelete
  2. jamani huyu balozi anajua anachofanya,kaenda sehemu ambayo hata wazawa wenyewe hawajui history ya hapo kilwa kisiwani,

    ReplyDelete
  3. SASA WE SI UNAJUA CHADEMA NDIO WANAJULIKANA MAREKANI, CCM WANAWAJUA NI CORRUPTED PARTY SHAURI YENU HIO NI C.I.A.

    ReplyDelete
  4. huyu mzee harudi marekani huyu, keshanogewa.

    ReplyDelete
  5. Usisahai kuwa huyo Balozi alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Ukachero na Intellejensia katika jeshi la Marekani na mwenye cheo cha jenerali. He is very well educated soldier and very humble and simple, down to earth type of a guy.

    ReplyDelete
  6. Nilikuwa kilwa kutembea na familia yangu mwaka huu, hapo kilwa kisiwani kwa kweli wanahitaji kuamka au kusaidiwa. Shule ya msingi inasikitisha mnaweza ona darasa katika picha ya kwanza...ukilinganisha na idadi ya wageni wanaofika hapo kisiwani- kweli hakuna hata genge(acha duka) linalouza vinywaji mara watu wakimaliza matembezi yao na kupumzika kusubiria boti kuwarudisha kilwa masoko. Vinginevyo ni sehemu nzuri sana kutembelea ukitaka kupumzika na familia yako tahadhari tu kwa vile barabara bado haijaisha bora kwenda msimu wa kiangazi.

    ReplyDelete
  7. Balozi kapiga za ki-CHADEMA big up

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...