Kamera ya Globu ya Jamii leo imekutana na usafiri huu maeneo ya Mikocheni jijini Dar ikiwa imebeba abiria wengi zaidi ya uwezo wake,huku abiria hao wakiwa hawana hata chembe ya wasiwasi.Usafiri huu ambao umekuwa ukijipatia umaarufu mkubwa hapa jijini hasa kutokana na uharaka wake umekuwa ukifanya namna hii mara nyingi sana jambo ambalo linaweza sababisha janga kwa abiria hao ambao wao wanaona poa tu.wanausalama liangalieni sana swala hili.
Home
Unlabelled
usafiri wa bajaj unavyokula vichwa jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ndio maana ajali ikitokea wanakufa kama kuku maskini....cheki walivyobebana
ReplyDeleteHivi sisi waafrica tunasikiaga kweli? Hata kama tutaambiwa na hao wanausalama Hatuwezi kusikia. Tuache porojo bana. Mdau toka buja
ReplyDelete