Kamera ya Globu ya Jamii leo imekutana na usafiri huu maeneo ya Mikocheni jijini Dar ikiwa imebeba abiria wengi zaidi ya uwezo wake,huku abiria hao wakiwa hawana hata chembe ya wasiwasi.Usafiri huu ambao umekuwa ukijipatia umaarufu mkubwa hapa jijini hasa kutokana na uharaka wake umekuwa ukifanya namna hii mara nyingi sana jambo ambalo linaweza sababisha janga kwa abiria hao ambao wao wanaona poa tu.wanausalama liangalieni sana swala hili.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ndio maana ajali ikitokea wanakufa kama kuku maskini....cheki walivyobebana

    ReplyDelete
  2. Hivi sisi waafrica tunasikiaga kweli? Hata kama tutaambiwa na hao wanausalama Hatuwezi kusikia. Tuache porojo bana. Mdau toka buja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...