Ukiwa safarini kutokea jijini Dar na kuelekea mikoani,basi ni lazima humo barabarani utawaona vijana hawa ambao wanafanya biashara ya kuuza mayai ya kienyeji wakiwa wamesimama pembezoni mwa barabara huku wakionyesha bidhaa yao hiyo kwa watu wapitao kwenye magari,hali hii ni ya hatari sana kwa vijana hawa kutokana na namna wanavyosimama kwenye barabara hiyo,maana mara nyingi hupenda kujitokeza ghafla barabarani wakitokea sehemu wanazokuwa wamekaa pindi wasikiapo milio ya magari na ikitokea dereva hayuko makini barabarani anaweza hata akamgonga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hao vijana ni noma.Siku moja nilikuwa nadrive kutoka Arusha kwenda Dar niliwakuta mitaa ya MBEWE nadhani, katikatika ya Chalinze na Segera.Nikanunua hayo Mayai..nilipofika Dar kuyafungua mazima yalikuwa manne tu mengine....!!!

    David V

    ReplyDelete
  2. David hayo mengine ungepeleka kwa mganga wa kienyeji, deal.

    ReplyDelete
  3. Hapana hawa vijana ni matapeli tu wa vijijini, mayai mengi wanayoyauza ni ya kunguru na bundi, na hata wakati mwingine uuza mayai ya nyoka.

    ReplyDelete
  4. kuleni kuku mayai mboga samaki maziwa...na kujenga nyumba safi pa kulala pawe bora....

    ReplyDelete
  5. mayi ya nyoka? Duh, kudadeki!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...