Meneja mauzo Jerome Munisi Kanda ya Kaskazini (Kulia) na Msimamisi wa mauzo Riziki Mwalupindi (kushoto) wakimkabidhi Hundi yenye thamani ya Tsh.11,000,000/= mshindi wa shindano la MEGA PROMO bi Glory Robinson Urio (Katikati) kwenye tamasha hilo.Tamasha hilo kubwa limefanyika katika manispaa ya Mji wa Moshi mwishoni mwa wiki likiwa limedhaminiwa na Vodacom pamoja na TBL. Pamoja na mambo mengine lilikuwa limelenga kuwakabidhi washindi mbalimbali wa MEGA PROMO,shindano ambalo limekuwa likiendelea na kuwavutia wananchi wengi nchini Tanzania. Jumla ya washindi wapatao nane kutoka Mkoa wa Kilimanjaro walikabidhiwa zawadi zao zikiwa ni Hundi za sh.11,000,000/= pamoja na Televison aina ya Samsung nchi 26.
Meneja mauzo kanda ya Kaskazini Jerome Munisi (Kulia) na Msimamisi wa mauzo Riziki Mwalupindi (kushoto) wakimkabidhi Hundi yenye thamani ya Tsh.11,000,000/= mshindi wa shindano la MEGA PROMO bi Glory Robinson Urio (Katikati) kwenye tamasha hilo.
Meneja mauzo Kanda ya kaskazini Jerome Munisi (Kulia) na Msimamisi wa mauzo Riziki Mwalupindi (kushoto) wakimkabidhi Television aina ya Samsung nchi 26 mshindi wa shindano la MEGA PROMO Mr. Theodore S. Shirima (Katikati) kwenye tamasha hilo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...