WADAU WAKIFURAHIA BAADA YA KULAMBA NONDOZZZ ZA UENDESHAJI BIASHARA (BBA) KUTOKA CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA UNIVERSITY KAMPASI YA DAR ES SALAAM KWENYE MAHAFALI ILIYOFANYIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR. TOKA SHOTO NI EYSHAA LUCUMAY, EDWARD GUTEGA, DEOGRATIAS SAMKI, HERIEL SIMBO na EMMANUEL MHALILA.
PICHA NA MDAU ANINKIRA PEREZ
Nuksi tayari, mmetupa digrii zenu, miaka yote mmeipoteza bure. Chekini sasa kasheshe la kupata kazi.
ReplyDeleteAnony wa Sun Nov 06, 07:21:00 AM 2011-Wakati umefika kwa watanzania kuelewa kwamba kuwa na degree maana yake mpaka uajiriwe bali tuchukulie kama sehemu ya kuongeza maarifa ambayo yatatusaidia kufumbua matatizo yanayotuzunguuka, ifike wakati tufikirie kujiajiri
ReplyDeleteKwani ukijiajiri huajiri? Hao wanaoajiri wamejiajiri. Wewe jiajiri halafu mtu asitake kuajiriwa na wewe uone kama hutatafuta ajira mwana wane. Ni kufikiri tu kama unavyomuambia huyo mdau wa kwanza.
ReplyDelete