WADAU WAKIFURAHIA BAADA YA KULAMBA NONDOZZZ  ZA UENDESHAJI BIASHARA (BBA) KUTOKA CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA UNIVERSITY KAMPASI YA DAR ES SALAAM  KWENYE MAHAFALI ILIYOFANYIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR. TOKA SHOTO NI EYSHAA LUCUMAY, EDWARD GUTEGA, DEOGRATIAS SAMKI, HERIEL SIMBO na EMMANUEL MHALILA.
PICHA NA MDAU ANINKIRA PEREZ

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nuksi tayari, mmetupa digrii zenu, miaka yote mmeipoteza bure. Chekini sasa kasheshe la kupata kazi.

    ReplyDelete
  2. Anony wa Sun Nov 06, 07:21:00 AM 2011-Wakati umefika kwa watanzania kuelewa kwamba kuwa na degree maana yake mpaka uajiriwe bali tuchukulie kama sehemu ya kuongeza maarifa ambayo yatatusaidia kufumbua matatizo yanayotuzunguuka, ifike wakati tufikirie kujiajiri

    ReplyDelete
  3. Kwani ukijiajiri huajiri? Hao wanaoajiri wamejiajiri. Wewe jiajiri halafu mtu asitake kuajiriwa na wewe uone kama hutatafuta ajira mwana wane. Ni kufikiri tu kama unavyomuambia huyo mdau wa kwanza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...