Waandishi wa Habari Waandamizi wakibadilishana mawazo baada ya kutunukiwa Shahada ya Sanaa na Mawasiliano ya Umma katika mahafali ya tano ya Tumaini University Makumira Dar es Salaam College yaliyofanyika leo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni , Jeff Shellembi, Leonard Magomba, Emmanuel Kwitema na Paul James Sweya (PJ).

 Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Tumaini University Makumira Dar es Salaam College, Prof. Esther Mwaikambo akimtunuku Shahada ya Uendeshaji Biashara, Lawrence Ntwa wakati wa mahafali ya tano yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Tumaini University Makumira Dar es Salaam College, Prof. Esther Mwaikambo akimtunuku Shahada ya Uendeshaji Biashara, Jesca Sanga wakati wa mahafali ya tano yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Wapiganaji baada ya kulamba nondozzz leo 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongereni wapiganaji si haba mlichosomea,! Mimi pia nime soma uni as a mature student, i have no regrets, it makes approach and understanding of issues in general much easier for me!!!

    i wish i had someone to encourage me to read when i was young, lakini although i still persued education later in life.........no regrets mate!!!

    invest another 4 to 5 years in your education and the rest of your working life will be much easier to manage.

    for instance if you had a bit of information about the markets, you wouldn't be asking about the share market in Tanzania!!! you would already be well equipped with knowledge and awareness of the risks involved in the shares markets, know when to and when not to invest!!! shares are not all that rosey as they seem, no one out there is willing to tell you that at most times one shares loss is another shares gain etc...

    soma kwanza!!! stop thinking negative that you are lazy... as a man thinketh, so he is!!!

    think zealous and so shall you be, i'm sure you have an apetite that still hungers for more masomo, talk to a mentor who has your best interest at heart.

    all the best.

    n/b
    lack of education is one reason why there is so much poverty in Africa, in 21st century and industrial revolution is yet to take place in Africa!!! if we do not do it for ourselves, no one will do it for us!!! SOMENI

    ReplyDelete
  2. Congrats PJ you deserve it

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...