Meneja Masoko wa NMB, Shilla Senkoro akizungumza wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya NMB Student Account iliyofanyika katika jengo la NMB HOUSE. Wa pili kulia ni Meneja Viwango, Selcom Gaming na Ofisa kutoka bodi ya taifa ya michezo ya kubahatisha, Mrisho Millao na kulia ni Ofisa Mahusiano, Ally Ngingite
Irene Rugimbana akibonyeza kitufe cha kompyuta wakati wa kuwatafuta washindi wa droo ya NMB Student Account iliyofanyika leo katika jengo la NMB HOUSE jijini Dar es Salaam. Jumla ya washindi 135 walipatikana ambapo wamejishindia zawadi za, Simu za Mkononi 10, Jezi 50, fulana za NMB 50 na tiketi 50 za kushuhudia mchezo wa timu ya soka ya Tanzania ‘taifa stars’ na Chad utakaofanyika kwenye uwanja wa Taifa. Wengine katika picha ni Ofisa Mahusiano, Ally Ngingite (shoto), Meneja Masoko wa NMB, Shilla Senkoro, Meneja Viwango, Selcom Gaming na Ofisa kutoka bodi ya taifa ya michezo ya kubahatisha, Mrisho Millao.
Maxmillian Kailangana akibonyeza kitufe cha kompyuta wakati wa kuwatafuta washindi wa droo ya NMB Student Account iliyofanyika leo katika jengo la NMB HOUSE jijini Dar es Salaam. Jumla ya washindi 135 walipatikana ambapo wamejishindia zawadi za, Simu za Mkononi 10, Jezi 50, fulana za NMB 50 na tiketi 50 za kushuhudia mchezo wa timu ya soka ya Tanzania ‘taifa stars’ na Chad utakaofanyika kwenye uwanja wa Taifa. Wengine katika picha ni Ofisa Mahusiano, Ally Ngingite (shoto), Meneja Masoko wa NMB, Shilla Senkoro, Meneja Viwango, Selcom Gaming na Ofisa kutoka bodi ya taifa ya michezo ya kubahatisha, Mrisho Millao. (Picha na Francis Dande)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mh da shilla nimependa hijabu yako natamani na mwamvita makamba nae aanze kuvaa hijabu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...