Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi Finland nchini, Mhe Sinikka Antila wakati alipowasili ofisiki kwakwe jijini Dar es Salaam leo tayari kwa mazungumzo yao.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ananimaliza sana mtoto wa mkulima anavyowashobokeaga hao wageni wake yani full kujiamini utasema kasoma nao shule vile

    we chunguza picha zake zote akipokea mgeni anamshobokea kama vile aaah vp za tokea ile siku alafu rafiki yangu mbona umesahau kale kasuti kangu kuniletea au saizi yangu umeisahau alafu anamalizia hahahahaha karibu sana tanzania

    ReplyDelete
  2. Mheshimiwa Pinda Makaratasi hayo, Finland kunalipa, ni kuzuri sana.

    ReplyDelete
  3. Anony wa pili umenivunja mbavu. Watu munaota makaratasi tu! ha ha ha haaaa!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Mheshimiwa tunakuomba umueke sawa huyo mama, siku hizi anatubania ile kishenzi. Hata wazee wanaotaka kwenda kuwatembelea watoto wao huko finland, huyu mama anawanyima viza. Kumbuka mumpasha na hilo, kama vipi mwambie na wewe utaanza kuwabania wafini wanaokuja kutembea bongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...