Home
Unlabelled
waziri mkuu akutana na Balozi wa Finland nchini leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ananimaliza sana mtoto wa mkulima anavyowashobokeaga hao wageni wake yani full kujiamini utasema kasoma nao shule vile
ReplyDeletewe chunguza picha zake zote akipokea mgeni anamshobokea kama vile aaah vp za tokea ile siku alafu rafiki yangu mbona umesahau kale kasuti kangu kuniletea au saizi yangu umeisahau alafu anamalizia hahahahaha karibu sana tanzania
Mheshimiwa Pinda Makaratasi hayo, Finland kunalipa, ni kuzuri sana.
ReplyDeleteAnony wa pili umenivunja mbavu. Watu munaota makaratasi tu! ha ha ha haaaa!!!!!!!
ReplyDeleteMheshimiwa tunakuomba umueke sawa huyo mama, siku hizi anatubania ile kishenzi. Hata wazee wanaotaka kwenda kuwatembelea watoto wao huko finland, huyu mama anawanyima viza. Kumbuka mumpasha na hilo, kama vipi mwambie na wewe utaanza kuwabania wafini wanaokuja kutembea bongo.
ReplyDelete