Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa na Bango wakati wa maadhimisho ya Miaka hamsini ya Wizara
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Jaji Profesa Ibrahim Juma (mwenye suti) akiwa na DPP Feleshi wakielekea katika uzinduzi wa maadhimisho hayo.
Jaji Kiongozi Fakhi Jundu akisoma hotuba wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya miaka hamsini kwa wizara ya Katiba na Sheria
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Jaji Profesa Ibrahim Juma akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Tume katika uzinduzi wa maadhimisho ya miaka hamsini ya uhuru
Jaji Kiongozi Fakhi Jundu akiwa na baadhi ya viongozi wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Katiba na Sheria wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya miaka hamsini ya uhuru kwa upande wa wizara (picha zote na ofisa habari wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Munir Shemweta).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Watu wenye hekima hua wanawaona nyie kama vichekesho,kwani hakuna sheria Tanzania kwani imefunikwa na rushwa kwa ngazi zote,sijui kuna kitu gani cha kusherekea.

    ReplyDelete
  2. Wadau naomba kupata ufafanuzi wa mambo mawili kuhusu miaka hamsini:

    1.Uhuru wa Tanzania au Tanganyika??!!
    2. Je kama Tanganyika ilikuwa chini ya uangalizi wa league of Nations(hatukuwa koloni kama Kenya)
    je ni Uhuru au haki ya Kujitawala wenyewe?!
    Mzawa!

    ReplyDelete
  3. Mbona suala la katiba mpya limenyamaziwa kimya?Wanasheria ndo ilibidi wasimame kidedea kutetea haki za wananchi na sio wanasiasa,coz suala hili linachukuliwa kisiasa zaidi kuliko kijamii.

    ReplyDelete
  4. Jamani nini maana haya maadhimisho ya kila wizara,idara,taasisi.....wakati maadhimisho rasmi ya miaka 50 ni 9 Desemba? Je hicho kiasi cha pesa zinazotumika kwanini kisielekezwe kwenye mambo nyeti yanayolikabili taifa kwa sasa? Au kwakuwa watu wanaweza tengeneza posho za bure bure ndio maana tunayapa kipaumbele?

    ReplyDelete
  5. Mheshimiwa anatembe na chuma ndani ya pamba, du! kweli usalama haupo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...