Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ahsante kwa salaam za Uhuru!

    MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Tufanyeje kurudisha uzalendo. Mioyo ya baadhi ya watu baada ya miaka 50 ya uhuru imeoza. Vuta taswira ya watu wanaizomea timu yao ya taifa.
    Madereva hasa wa daladala juhudi yao ni kuvunja sheria za barabarani. Tumeutumia vibaya uhuru sasa tujitazame upya.

    ReplyDelete
  3. tunakumbuka kila kitu miaka 50 lakini bendera iliyotupatia uhuru tumeisahau kwa nini?

    ReplyDelete
  4. background Njano na Kijani kwa mbaali...go figure!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...