Familia ya Gozza waliopo Tanzania, Uingereza na Marekani,inasikitika kutangaza kifo cha dada yao mpendwa Salama Jaffari Marzouk,kilichotokea jana usiku katika hospitali ya St Bernard Tanzania. Mazishi yatafanyika leo jijini Dar es Salaam na Msiba upo mtaa wa Mzumbe magomeni.

R.I.P Da Salama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. INNA LILLAH WA INNA ILAYHI RAJIUUUNNN!!!!

    Mdau

    Mohamed M.
    Dari Salama
    Nyumbani Tanzania.

    ReplyDelete
  2. RIP sister. Hemedi.

    ReplyDelete
  3. poleni sana wana familia ya Goza, popote mlipo duniani, ingawa ni wakati mzito, lakini tunaungana nanyi kwenye huu msiba wa dada yetu, kifo chake kimetushiyuwa wengi, lakini ni lazima tukubali, kuwa sisi tulimpenda na Mungu alimpenda zaidi, Mungu amlaze marehemu, mahala pema peponi Ameen!

    ReplyDelete
  4. Asanteni wote mlioshiriki ktk msiba wa dada yetu mpendwa kwa niaba ya familia ya Gozza ,mwenyezi mungu awajalie kwa wote mliojitolea ktkt wakati huu Ngumu .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...